Milango ya Cinema Dar na Arusha leo ziko hizi kali sita, ya James Bond nayo ndani…
Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam na Arusha ratiba ya movie na Trailers zake nimekuwekea hapa mtu wangu. Location ni…
Kumbe Justin Bieber bado anampenda Selena Gomez, kazungumza haya kwenye jarida la Billboard! + (Pichaz).
Zikiwa zimebaki siku chache tu mpaka msanii wa muziki wa Pop kutoka Marekani, Justin Bieber aisogeze kwetu Album yake ya kwanza ndani ya miaka mitatu, Purpose, msanii huyo amepata shavu…
Video: Kazi za kwanza za Hussein Machozi, alivyokuwa Fundi na mwizi pia.
Hussein Machozi ni mwimbaji kutoka kwenye bongofleva ambaye yupo kwenye list ya mastaa wa bongofleva wenye mapito mengi kwenye historia zao, kwenye hii video hapa chini Hussein anaelezea alivyokuwa Mwizi,…
Nimekutana nayo mtaani nyingine ya Harmonize, inaitwa ‘Kidonda Changu’ (+Audio)
Harmonize ndio tunda jingine Bongo Flevani ambalo linatoka mikononi mwa staa wa muziki, Diamond Platnumz. Ni ahadi ambayo Diamond aliwahi kusikika mara nyingi kwamba kwa sababu anajua kuna matatizo mengi…
Forbes na list yao mpya!!..hawa ndio warembo wa kike kwenye muziki duniani wenye fedha nyingi
Mtandao wa Forbes umetoa list mpya ya mastaa wa kike duniani ambao wanatengeneza pesa nyingi zaidi kupitia kazi yao ya muziki. Katy Perry ameongoza list hiyo kutoka nafasi ya tano…
Cristiano Ronaldo kathibitisha haiwazi Man City hata kidogo.. Pesa tatizo kwake?
Kwa mara nyingine tena nakutana na headlines zinazomtaja staa wa soka Cristiano Ronaldo.. ana mpango wa kuhama? Jibu ni NO !! Ikitokea anahama, tutegemee atavaa jezi ya Manchester City ??…
Video: Pale Ben Pol alipomuhoji AliKiba.. maswali na majibu.
Sio siku zote tu Watangazaji ndio waulize maswali... maswali mengine yapo kwa Wasanii wenyewe na ndio maana Ben Pol amepata nafasi ya kumuuliza AliKiba maswali, unaweza kuwatazama wote wawili kwenye…
TB Joshua aacha maswali, majambazi yapora yakiimba ‘Hapa kazi tu’, MAGUFULI…#MAGAZETINI
NIPASHE Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema CUF inaendelea kutafuta haki ya Wazanzibar ya kutaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kuendelea kutangaza…
Usimchukulie poa Serena Williams..!! Cheki alivyomnasa jamaa aliyemwibia iPhone yake (+Video)
Kama umezoea kuwaonea wanawake au wasichana basi nikupe tahadhari kwamba usiwachukulie poa hata kidogo..! Na wenyewe wanapiga zoezi kama kawaida, na ukimzingua mnaweza kumalizana poa kabisa anytime !! Ninayo video…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania November06, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…