Karim Benzema afikishwa mahakamani kisa mkanda wa ngono, hizi ni picha zake akiwa mahakamani…
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Karim Benzema amezidi kuingia katika headlines baada ya zile stori za kuvuja kwa kanda ya ngono kuendelea…
Picha 21 matukio yote alivyoapishwa Rais Dk.MAGUFULI.
Tanzania imeingia kwenye headlines katika vyombo vya habari mbalimbali baada ya kupata rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliyeapishwa leo kwenye…
‘I’ll show You’ ya Justin Bieber tayari kaisogeza kwako Official Video…
Justin Bieber ameachia ngoma ya Video yake mpya 'I'll show You' Video hiyo ambayo imetoka November 2 tayari imeshatazamwa na watu zaidi ya milioni 12. Karibu uitazame hapa... https://www.youtube.com/watch?v=PfGaX8G0f2E Unataka…
Maneno ya Rais mstaafu Jakaya Mrisho kikwete kuhusu kumaliza kulitumikia taifa……
Ikiwa leo Novemba 5, 2015 ndio Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemaliza muda wake wa kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku Dk.John Pombe Magufuli akiapishwa kama rais wa awamo wa…
Lupita Nyong’o kasema haya kuhusu movie ya ’12 Years A Slave’ na movie nyingine anazozicheza sasa hivi!
Mwigizaji wa Hollywood, Marekani, Lupita Nyong'o aliweka headlines kubwa sana Africa na dunia nzima baada ya staa huyo kucheza movie iliyoingiza mamilioni ya faida kwenye movie Industry ya Hollywood, 12…
Pichaz 12 za Taifa Stars walivyojiandaa kuikabili Algeria November 14 na taarifa ya mechi yao ya kirafiki
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inayojiandaa kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Algeria, imeendelea na mazoezi ya kujiweka sawa kuelekea mchezo…
Mke wa marehemu ameyaandika haya kuhusu mrithi wa Ubunge wa Deo Filikunjombe
Tanzania bado iko kwenye majonzi baada ya msiba wa aliyekuwa mbunge wa Ludewa,Deo Haule Filikunjombe pamoja na Rubani Captain William Silaa na watu wengine wawili Egid Nkwera pamoja na Cassablanca Haule waliofariki kwenye…
TBT Pichaz za mastaa wa soka Sanchez, Santi Cazorla, Robin van Persie na Pedro Rodriguez …
Binadamu hupitia hatua nyingi hadi kuja kufikia mafanikio, wengi wamepata shida katika harakati za kusaka mafanikio, huenda umewahi kuwaona mastaa kadhaa wa soka wakiwa na mafanikio na hukuwahi kuwaona wakiwa…
Utundu mwingine uliofanya uwanja huu kuwa wenye mvuto zaidi duniani..Video
Ukizungumzia viwanja vikubwa vya soka duniani Wembley, The Nou Camp, The Maracana, The San Siro, Bernabeu. Allianz Arena havikosekani. Lakini watalaam wamekuja na utundu mwingine na kuufanya uwanja huu wa…
Hotuba ya kwanza ya shukrani aliyotoa Rais Magufuli baada ya kuapishwa.. (+Audio)
Baada ya Dk. John Pombe Magufuli na Mama Samia Suluhu kuapishwa kushika nafasi ya Urais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Magufuli alitoa Hotuba yake…