Utundu mwingine uliofanya uwanja huu kuwa wenye mvuto zaidi duniani..Video
Ukizungumzia viwanja vikubwa vya soka duniani Wembley, The Nou Camp, The Maracana, The San Siro, Bernabeu. Allianz Arena havikosekani. Lakini watalaam wamekuja na utundu mwingine na kuufanya uwanja huu wa…
Hotuba ya kwanza ya shukrani aliyotoa Rais Magufuli baada ya kuapishwa.. (+Audio)
Baada ya Dk. John Pombe Magufuli na Mama Samia Suluhu kuapishwa kushika nafasi ya Urais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Magufuli alitoa Hotuba yake…
Young Jeezy amekuja na hii mpya; ‘Streetz’ na video yake imenifikia! – (Video).
Young Jeezy amerudi tena kuziweka headlines za burudani wiki hii, baada ya kuachia video mbili, November 13 na Gold Bottles, rapper huyo kutoka Marekani amerudi tena na video ya kichupa…
Good News kwa familia ya mchekeshaji Eddie Murphy, ni huu ugeni mwingine!!
Mchekeshaji maarufu duniani Eddie Murphy ameingia kwenye headlines baada ya kutangaza anatarajia ugeni ndani ya familia yake. Staa huyo pamoja na mchumba wake Paige Butcher wanatarajia kupata mtoto ambaye atakua…
Hii ndio list ya mastaa waliokuwa verified kwenye twitter kaongezeka huyu…..
Mshindi wa Big Brother Africa 2014 Idris Sultan anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani… baada ya kuiwakilisha #255 vizuri kwenye shindano hilo kubwa la Africa,mafanikio mengi yamekuwa yakimfuata nyuma Idris…
Viapo vya Rais John Magufuli na Mama Samia Suluhu leo walivyoipokea TZ… (+Audio)
Tukio limekamilika kwenye Uwanja wa Uhuru, Temeke Dar es Salaam... ni historia nyingine iliyoandikwa kwa Rais JK kukabidhi kijiti cha Urais kwa Dk. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais…
#StoryKubwa…Mawaziri watakiwa kurudisha magari, Maalim Seif,UKAWA, mitihani Form Iv
MWANANCHI Wakati Rais Jakaya Kikwete akitangaza kuwa leo ni siku ya mapumziko nchi nzima ili kutoa nafasi kwa Watanzania kushiriki na kufuatilia sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule, Dk John…
Ninazo #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania November05, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Video: Wema Sepetu alivyozawadiwa kwenye birthday party yake.. na Lulu ndani !
Ni kutoka kwenye party ya siku ya kuzaliwa ya mwigizaji Wema Sepetu aliyoifanya November 2 2015 Dar es salaam na kujizawadia gari aina ya Range Rover, kama Party nzima ilikupita…
Rais JK, Seif wakubaliana, Dk. John Magufuli kuapishwa leo, UKAWA, CHADEMA? – (Audio).
Good Morning mtu wangu, leo ni Alhamisi 05 November 2015 na kama kawaida lazima siku ianze na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM. Kama zilikupita na hukuzipata zote karibu ucheki na hizi…