Hii ndio list ya watu 10 wanaokubalika zaidi Duniani, namba 1 je?
Jarida la Forbes wameitambulisha hii list leo November 04 2015, na unaambiwa majina haya 10 ndio yameonekana kuwa na nguvu kubwa zaidi ya kukubalika Duniani. Kabla ya kuitambulisha list, Forbes…
Siku moja baada ya Gerrard kuthibitisha siku atakayostaafu soka, Jurgen Klopp kathibitisha kuongea haya na Gerrard
Kocha wa kijerumani ambaye ana muda wa wiki kadhaa toka ajiunge na Liverpool kama kocha mkuu wa klabu hiyo, baada ya uongozi wa Liverpool kumfuta kazi Brendan Rodgers. Ikiwa ni…
Jamaa hata hakuwaza yani, kaingia barabara ya mbio za magari apige picha..
Mengine yaliyonifikia leo ni kutoka kwa huyu kijana raia wa Uingereza ambaye amejikuta akiishia jela huko Singapore baada ya kuvamia katikati ya barabara ya mbio za magari na kupiga picha.…
Huyu ndio Mike Dean refa ambaye hushangilia magoli yanapofungwa, cheki video zake …
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mchezo wa soka hususani barani Ulaya hakika jina la Mike Dean sio jina geni masikioni mwako, Mike Dean ni refa ambaye alianza kazi ya…
Mchekeshaji Masanja kaanza safari ya Ubunge.. Soudy Brown kamletea story za ‘kwa babu’… (U Heard)
Unajua story au tetesi zikishamfikia mzee wa 'Gossip' aka Soudy Brown, ana mbinu zake mwenyewe kuwanasa watu wake !! Ya leo kwa staa wa Orijino Komedi, Masanja ni hii ya Soudy…
Peter Okoye wa P Square aweka wino wa kuwa balozi wa kampuni nyingine kubwa duniani!
Mmoja ya wasanii wanaounda kundi maarufu la P Square kutoka Nigeria, Peter Okoye anaziandika headlines baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa staa huyo wa muziki Africa amedondosha…
Maandalizi nje mpaka ndani ya Uwanja wa Uhuru Dar atakapoapishwa Dk. Magufuli.. +Pichaz 11
Historia ya siasa Tanzania kwenye headlines za Uchaguzi Mkuu 2015 ilikuwa ni lazima ikamilishwe kwa matukio kadhaa, kati ya hayo liko tukio la kupatikana Wagombea viti vya Udiwani, Ubunge na…
Ripoti nyingine ya ajali ya ndege iliyonifikia kutoka Sudan…
Matukio ya ajali za ndege yameendelea kuchukua headlines katika vyombo mbalimbali vya habari duniani. Ikiwa ni siku chache baada ya ndege ya Urusi kuanguka na kuua zaidi ya watu 200…
Kala Pina hajakubali matokeo ya Ubunge Kinondoni, kinachofuatia ni yeye na Mahakama.. (+Audio)
Tukiwa tumemaliza headlines za Uchaguzi mkuu 2015, stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa msanii wa Hip Hop Kalapina ambaye alikuwa ni mgombea wa Ubunge jimbo la Kinondoni Dar es Salaam.…
Dk. MAGUFULI anaapishwa, kesho ni mapumziko TZ!!
Zimebaki saa chache kabla ya kushuhudia tukio zima la kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano atakayeongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano inayofatia. Tayari tumepata…