TB Joshua wa Nigeria amekuja Tanzania kwa ajili ya Dk. Magufuli.. (Picha 3)
Zimebaki saa chache kushuhudia tukio la kuapishwa kwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siku ya tukio hilo itakuwa tarehe 05 November 2015, Dar es salaam. Zimenifikia picha…
Umri bado unalipa lakini Steven Gerrard kathibitisha kustaafu soka ….
Kiungo wa kimataifa wa Uingereza anayekipiga katika klabu ya LA Galaxy ya Marekani Steven Gerrard yuko tayari kustaafu soka. Kiungo huyo ambaye alijiunga na klabu ya LA Galaxy ya Marekani kwa…
Brackets wameisogeza kwako ngoma yao mpya ‘Celebrate’ Feat. Timaya..Video
Brackets wameisogeza kwako official Video yao mpya ya Celebrates ambayo ndani wamemshirikisha Timaya. Video hiyo imeandaliwa na director Patrick Ellis. Karibu uitazame hapa.. https://www.youtube.com/watch?v=nXz9aSeOAgs Unataka kutumiwa MSG za habari zote…
Boss wa mgahawa alivyofukuzwa kazi baada ya camera kumnasa akimpiga dereva taxi
Siku hizi mambo ya teknolojia yamekuja na vingi sana, usije kujibana sehemu ukafanya jambo lolote la ajabu ukitegemea watu hawakuoni.. inawezekana watu hawakuoni ila camera zinakuona !! Boss wa mgahawa…
Runtown karudi na hii Official Video ‘Walahi’…
Runtown wa Nigeria karudi kwenye headlines za burudani baada ya kuachia video ya ngoma yake mpya 'Walahi' ambayo ipo kwenye album yake mpya ya 'Ghetto University'. Nakukaribisha kuitazama hapa mtu…
Sehemu ya pili Hekaheka ya watu kuchomwa moto na waendesha bodaboda Buguruni.. (+Audio)
Hii stori ni ya kuhuzunisha, tukio lilianza kusimuliwa jana kwenye Hekaheka ambapo watu wawili walipigwa na waendesha bodaboda wakituhumiwa kwa wizi wa pikipiki eneo la Buguruni Dar. Dada mmoja ambaye…
Baada ya stori za Simba kutaka kumfukuza kocha Dylan Kerr, huu ndio msimamo wao…
Uongozi wa klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba ulikuwa unatajwa kutaka kumfukuza kocha wao muingereza Dylan Kerr kutokana na kutofurahishwa kwa mwenendo wa timu hiyo hususani kupoteza katika michezo miwili…
French Montana anataka hii nyingine ikufikie, ‘Moses’ feat. Chris Brown & Migos – (Video)!
Baada ya kuachia mixtape na Fetty Wap, msanii wa muziki wa HipHop Marekani, French Montana amerudi kuzikamata headlines za leo kwenye kurasa za burudani. Kutoka kwenye mixtape yake ya mwezi…
Hizi ndio #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 Tanzania NOVEMBER 3 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote…
TMA na mvua za El Nino, CCM na Tanga, kipimo ahadi za Magufuli, Wasomi na changamoto kwa Rais mteule – (Audio)
Uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita? Kama ulikuwa mbali na radio yako na hukuweza kuzipata zote kwenye kuperuzi na kudadis karibu ucheki na hizi nyingine hapa chini kufidia. Mamlaka ya Hali…