Weekend hii Future anataka wimbo huu uwe kwenye Playlist yako; ‘Stick Talk’ – (Video)!
Ni FurahiDay mtu wangu na msanii wa muziki wa HipHop Marekani, Future anaziteka headlines za leo kwenye kurasa za burudani. Msanii huyo ambaye pia ni kiongozi wa kundi la muziki…
Picha nne za basi jipya la kisasa la klabu ya Mbeya City zipo hapa..
Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya ni klabu ambayo inamilikiwa na halmashauri ya jiji hilo, kama ambavyo kila klabu inatamani kuwa na vifaa vya kisasa, uwanja na rasilimali zake…
China itaruhusu watu kuwa na watoto wawili? Huu ndio mpango mpya..
Kitendo cha Sheria za China kupiga marufuku watu kuzaa mtoto zaidi ya mmoja, ilikuwa ni kitu ambacho Mataifa mengi Duniani yalikuwa yakikipiga vita, good news kutoka huko ninayo, mambo yamebadilika…
Fetty Wap kaivujisha hii mpya na anataka ikufikie; ‘In My Ways’ – (Audio).
Licha ya kupata ajali ya pikipiki, msanii wa muziki wa HipHop Marekani, Fetty Wap ameona hana sababu ya kuacha kutengeneza muziki na kutupa burudani... wiki iliyopita msanii huyo mwenye hit…
Video ya Lumumba Dar es Salaam wanaCCM baada ya ushindi wa Dr. Magufuli
Baadhi ya wanachama wa CCM walikutana kwa pamoja katika Ofisi za Chama hicho jioni ya October 29 2015 kusherehekea ushindi iliomtangaza Dk. John Magufuli kuwa Rais mteule wa Jamhuri ya…
Album mpya ya Rihanna ipo njiani, na hili ndio dili nono la kudhamini Album hiyo!
Rihanna kwenye healines mtu wangu, baada ya kutudokeza cover mpya ya Album yake mpya 'Anti' msanii huyo pamoja na management yake imeamua kuingi mkataba na kampuni kubwa ya simu duniani,…
Baada ya mwaka mmoja kupita, Ariana Grande amerudi na mdundo mpya; ‘Focus’ + (Video).
Umepita mwaka mmoja tu toka msanii wa muziki wa Pop, Marekani, Ariana Grande aachie Album yake iliyopewa jina, My Everything... Good news ni kwamba msanii huyo mwenye miaka 22 amerudi…
Dully Sykes hakushiriki kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2015?, kayasema haya….(+Audio)
Najua kuna baadhi ya watu walishiriki kupigia Kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 lakini stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa msanii wa Bongo Fleva, Dully Sykes ambaye hakushiriki kupiga kura.…
Magufuli na Urais, Seif na Znz, Waangalizi na ZEC, Lowassa na matokeo + Jimbo la Mbagala. – (Audio).
Uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita? Kazi yangu kila siku asubuhi ni kuhakikisha zile zote kubwa kwenye kuperuzi na kudadis hazikupiti. Kama uliikosa na hukuisikia unaweza kucheki na hizi nyingine kufidia.…
Maneno ya mwigizaji Frank baada ya kukosa kiti cha Ubunge….(+Audio)
Tukiwa tumemaliza headlines za Uchaguzi Mkuu 2015, mwigizaji Frank alijitokeza kugombea Ubunge jimbo la Tabata Segerea kupitia tiketi ya ACT-Wazalendo lakini kutokana na kura zake kuwa chache hakufanikiwa kuwa mshindi…