Rubani William Silaa aliyefariki kwenye ajali ya Helikopta amezikwa leo…. (Picha)
Octoba 15 2015 taarifa ya majonzi ilitufikia kuhusu kifo cha mbunge wa Ludewa Deo Haule Filikunjombe na aliyekuwa Baba mzazi wa meya wa Ilala, William Silaa baada ya kupata ajali ya helikopta…
Idris Sultan na Ommy Dimpoz walivyoalikwa kama wageni rasmi shuleni (+Pichaz)
Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, Idris Sultan na msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz waliungana kwa kuhudhuria mahafali ya kidato cha nne ya Mbezi High School, Mbezi ya…
Hii ndio official video ya mdundo mpya wa Will Smith: “Fiesta” – (Video).
Mwanzoni wa mwezi huu Will Smith aliweka headlines na ujio wa wimbo wake wa kwanza wa HipHop "Fiesta" baada ya kupotea kwa miaka 10 kwenye kurasa za muziki wa HipHop…
Magazeti ya Tanzania leo October 18, 2015 yameamka na hizi kwenye Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili Octoba 18 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Michezo na Hardnews, zote…
Pichaz 21 kutoka kwenye Majukwaa ya Kampeni za Wagombea wa CCM na UKAWA October 17 2015
October 17 2015 Kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeendelea maeneo mbalimbali, Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli alikuwa Viwanja vya Furahisha Mwanza wakati Mgombea Urais anayeungwa Mkono na…
Full Time ya FC Barcelona Vs Rayo Vallecano na mechi nyingine za Ligi Kuu Hispania Oct 17! (+Video)
Klabu ya FC Barcelona usiku wa October 17 ilishuka dimbani kucheza mechi yake ya Ligi Kuu Hispania kwa kuwakaribisha Rayo Vallecano katika uwanja wao wa nyumbani wa Camp Nou. Licha ya…
Full Time ya Arsenal Vs Watford na mechi zote za Ligi Kuu Uingereza Oct 17! nani kapiga nyingi? (+Video)
Kama ambavyo Ligi Kuu Tanzania bara imeendelea leo Jumamosi ya October 17, nchini Uingereza katika Ligi Kuu ya nchi hiyo imepigwa michezo kadhaa ya muendelezo wa Ligi hiyo kwani ilisimama…
Full Time ya Maji Maji FC Vs African Sports (+Pichaz)
Miongoni mwa mchezo mwingine uliochezwa October 17 ni mechi kati ya Maji Maji FC dhidi ya African Sports katika uwanja wa Maji Maji Songea. African Sports ambayo ipo nafasi ya…
Full Time ya mechi zote 6 za Tanzania bara Oct 17! nani kapiga nyingi? msimamo wa ligi je?
Ni mechi za ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara ambapo leo October 17 2015 zilichezwa mechi sita kwenye viwanja tofauti huku Stand United ikiongoza kwa kuwa timu iliyoshinda goli nyingi…
Full Time ya Yanga Vs Azam FC October 17 (+Pichaz)
October 17 ndio siku ambayo Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam ulipigwa mchezo ambao uliamua nani…