Haya ndio maneno ya Rihanna kuhusu Chris Brown sasa hivi…
Siku chache zilizopita Rihanna alifanya interview na jarida la Vanity Fair, la Marekani na kuzungumza vitu vingi ikiwemo uhusiano wake wa zamani na R&B staa Chris Brown. Baada ya kujibu…
Jay Z na Beyonce hawajachoshwa nyumba za kupanga? Ya kwanza imeuzwa, wanahamia humu… (+Pichaz)
Nyumba ya kwanza ambayo waliamua kuishi Jay Z na Beyonce pamoja na mtoto wao Blue Ivy, ilikuwa maeneo ya Los Angeles Marekani na walianza rasmi maisha ndani ya huo mjengo…
EXCLUSIVE: Video ya kilichonaswa kwenye talaka ya Flora Mbasha na mumewe
October 6 2015 waimbaji wa gospel ambao ni wanandoa, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha walifika Mahakamani kwenye kesi ya madai ya talaka iliyofunguliwa na Flora zaidi ya mwaka mmoja…
Picha za mama Regina Lowassa Zanzibar alivyoongea na Wanawake kuusubiria uchaguzi.
Jana ilikua October 6 2015 ambapo bado sera zimeendelea kunadiwa kuisubiria siku kubwa ya kura ambayo ni October 25 2015 ambapo mmoja wa waliochukua headlines jana ni mke wa mgombea…
Lowassa, Magufuli na TANESCO, UN & Uchaguzi, Familia ya Mtikila + bei ya Petroli, Diesel? #PowerBreakfast.
Uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita? Ninazo hapa chini baadhi ya stori zilizoweka headlines kwenye kurasa za magazeti Tanzania leo 7 October 2015, kama zilikupita unaweza ukacheki na hizi nyingine kufidia.…
Becka Title na ‘Unataka Nini’ ndani kamshirikisha Bui Bui…Video
Becka Title karudi kwenye headlines za burudani baada ya kauchia ngoma yake mpya 'Unataka Nini' ndani akiwa kamshirikisha msanii mwenzake Bui Bui. Video hiyo imeongozwa na All Stars, karibu uitazame…
Magazeti ya Tanzania Octoba 7, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatano Octoba 7, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Picha za Kocha wa Ecuador na baiskeli uwanjani japo kaumia.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri katika somo la sayansi shule ya msingi kuna kitu kilikuwa kinaitwa mashine tata yaani kwa maana yake kwa lugha rahisi ni kitu chochote chenye uwezo wa kurahisisha…
Pichaz 20 kutoka kwenye mkutano wa Mgombea Urais wa CCM John Magufuli Arusha October 6.
Ziara za wagombea nafasi za Urais kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania bado inazidi kuchukua kasi,upande wa Chama Cha Mapinduzi na mgombea wake John Magufuli leo walikua wakizungumza na wapiga…
Izzo Bizness ametuletea hii single mpya akiwa na G Nako & Mwana FA isikilize hapa
Rapper kutokea Mbeya City, Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness time hii ametuletea hii single mpya iitwayo Shem Lake amewashirikisha G Nako na Mwana FA. Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau…