Wenye pesa zao ndio wanaweza kumiliki Basi kama hili lenye huduma kama nyumbani
Pesa yake sio ndogo mpaka kulimiliki lakini ukiwa nalo ndio utaona faida zake, linaitwa RV likiwa ni basi ambalo ndani yake kuna vitu ambavyo vinapatikana kwenye nyumba za kuishi, ni…
Drake anaileta kwetu ‘Can I’ feat Beyonce Knowles – (Audio).
Mara ya mwisho Beyonce na Drake walifanya kazi pamoja ilikuwa mwaka 2013 walitoa single iliyopewa jina 'Mine' wimbo unaopatikana kwenye album ya Beyonce ya 2013 'BEYONCE'... Baada ya kuachia single ya…
Magazeti ya Tanzania Octoba 5, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatatu Octoba 5, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Zimenifikia video za magoli ya Mbwana Samatta katika mechi dhidi ya Al Merreikh na kuifikisha TP Mazembe fainali..
Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetinga hatua ya fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya…
Matokeo ya mechi ya Atletico Madrid Vs Real Madrid yapo hapa mtu wangu (+Pichaz&Video)
Baada ya klabu ya FC Barcelona kuchukua kipigo cha goli 2-1 kutoka kwa Sevilla siku ya Jumamosi ya October 3 katika uwanja wa Estadio R. Sanchez Pizjuan, wapinzani wao wa jadi Real…
Kama zilikupita mechi za October 4 za Ligi Kuu Uingereza, ninazo video za magoli ya mechi hizo mtu wangu…
Jumapili ya October 4 ni siku ambayo Ligi Kuu Uingereza iliendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, Jumapili hii ilikuwa inahusisha michezo mitatu ya Ligi Kuu Uingereza sambamba na…
Picha za mwanzo kutoka nyumbani kwa Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, Mikocheni Dar..
Kwenye list ya Wanasiasa walioamua kuingia kwenye Mchakato wa Uchaguzi Mkuu Tanzania utakaofanyika October 2015, alikuwepo pia Mwanasiasa Mkongwe, Mchungaji Christopher Mtikila ambaye alitangaza kugombea nafasi ya Urais kupitia Chama…
KINGUNGE amejiondoa rasmi CCM!! kayasema haya..
Mwanasiasa Mkongwe Kingunge Ngombare Mwiru leo ametangaza kujiondoa ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM na sasa atakuwa mwananchi huru. Kingunge amezungumza leo mbele ya waandishi wa Habari akiwa nyumbani kwake…
Picha za Roberto wa AMARULA alivyoruka na watu wake Mwanza !!
Ukitaka kujua muziki mzuri unaokubalika mitaani kuna sehemu za kupita alafu unatoka na majibu kamili kabisa, moja ya sehemu hizo ni Club.. ukikatisha Club sio rahisi kukuta DJ kapiga midundo…
Ujumbe wa Rais wa Marekani Barack Obama baada ya miaka 23 ya ndoa yao…
October 3, 1992 Rais wa Marekani Barack Obama na mke wake Michelle walifunga ndoa katika kanisa la Trinity United Church huko Chicago. Marekani. Jana Obama na mke wake walisherehekea kutimiza miaka…