Kauli nane za kuchekesha alizowahi kuziongea Zlatan Ibrahimović zipo hapa mtu wangu..
Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden ambaye anaichezea klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimović ni moja kati ya wachezaji wenye majibu ya kushangaza wanapofanya mahojiano na vyombo vya habari, Zlatan…
Shabiki hakujali kuwa Ronaldinho kapata ajali wala nini alipofika ni mwendo wa Selfie (+Picha)
Wengi tunamfahamu Ronaldinho kwa uwezo wake mkubwa uwanjani hasa wakati alipokuwa anacheza bara la Ulaya katika vilabu vya FC Barcelona ya Hispania na AC Milan ya Italia. Ronaldinho kwa sasa yupo…
Unaambiwa hawa mastaa sita waliwahi kutua Kenya kimyakimya bila watu kujua… (+Pichaz)
Kuna story huwa zinazunguka mitaani kuhusu ishu ya mastaa kuingia Tanzania.. wanatembelea maeneo mbalimbali alafu wanarudi zao kwao !! Kwenye hizo story kuna za ukweli na nyingine zinatungwa tu mtaani,…
Kocha wa Liverpool kumbe haogopi kufukuzwa !! Wakifungwa je? Kajibu haya…
Klabu ya Liverpool ya Uingereza Jumapili ya October 4 inacheza mchezo wake wa nane wa Ligi Kuu Uingereza dhidi ya Everton, mechi ambayo ni kubwa katika jiji la Liverpool kwani inazikutanisha…
Pichaz kwenye Birthday ya Diamond Platnumz, nyumbani kwake Dar es Salaam..
September 21 2015 story kwenye headlines ilikuwa party ya mtoto Tiffah, mtoto wa Diamond Platnumz na mpenzi wake Zarina Hassan aka Zari the Boss Lady.. party nyingine ilikuwa jana hapohapo…
Picha 6 za Edward Lowassa mbele ya Wananchi wa Babati na Mto wa Mbu Oct 2.
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA Edward Lowassa October 2 2015 alisimama mbele ya Wananchi wa Jimbo la Babati Mjini katika Mkutano wa…
Mambo ya good music mtu wangu, mjamzito kasahau uchungu kajiachia kudance.. +(Video)
Unaweza ukahisi hiki kipande cha video kimetengenezwa na hakina ukweli wowote kwamba mama anayecheza sio mjamzito, manesi wamefanya uthibitisho kwamba mama alikuwa mjamzito na alijifungua mtoto wa kike saa chache…
Magazeti ya Tanzania Octoba 3, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Octoba 3, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania ya mechi za October 3 na 4 ipo hapa mtu wangu..
Najua mtu wangu wa nguvu ungependa kufahamu ratiba ya mechi za Ligi Kuu mbalimbali ambazo zitachezwa siku ya Jumamosi ya October 3 na Jumapili ya October 4. Naomba nikusogezee karibu…
List ya wachezaji wanaowania Ballon d’or 2015 imevuja? haya ndio majina 59 ya wachezaji wanaotajwa…
Hii ni moja kati ya stori kubwa zilizoingia katika headlines October 2 katika vyombo vingi vya habari za michezo duniani, stori kutoka katika mtandao wa 90min.com umeripoti kuvuja kwa majina…