Mambo ni moto Chelsea, hiki ndio kinachoendelea kwa Mourinho na wachezaji wake..
Baada ya kupoteza mchezo mwingine kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa ukiwa mchezo wa tano kupoteza tangu msimu huu uanze, hali imezidi kuwa mbaya ndani ya klabu ya Chelsea kufuatia…
Matokeo yalikufikia lakini hukuona magoli ya Mtibwa 0 – 2 Yanga, ninayo kwenye hii video
Ni mechi ambayo ilichezwa September 30 2015 Morogoro ambapo ushindi ulikuwa wa Yanga kuifunga Mtibwa 2 - 0, inawezekana matokeo uliyapata lakini magoli hukuyaona, hii video hapa chini itakuonyesha. https://www.youtube.com/watch?v=1mFUc-DaiBA Unataka…
Jhene Aiko amerudi na hii mpya mtu wangu; ‘Lyin King’ – (Video).
Unamkumbuka Jhene Aiko? miongoni wa mastaa kutoka Marekani walioungana na Ne-Yo kwenda kutoa burudani kwenye tuzo za MTV MAMA 2015 South Africa... yes Jhene Aiko amerudi tena kuziandika headlines kwenye…
Mauaji mengine ya wanafunzi wakiwa chuoni Marekani, maneno ya Obama pia yapo hapa..(Pichaz&Video)
Marekani imekuwa ikiingia kwenye headlines mara kwa mara kuhusiana na matukio ya watu kupigwa risasi..Headlines zimerudi tena huko, ni kuhusu kijana mmoja kuvamia chuo cha Umpgua community na kuua wanafunzi…
Lowassa aiteka Dar.. NACTE & Uchaguzi, Ndege JWTZ, NEC na waandishi wa habari vituo vya kupiga kura? (Audio).
Asubuhi huwa ni time ya kuchambua stori kubwa zilizokamata kurasa za magazeti kwenye #PowerBreakfast @CloudsFM, ninazo zote zilizosikika leo baadhi zikiwa... Edward Lowassa ataja mambo 13 ya kwanza atakayofanya kwa siku 100 akipata…
Milango ya Cinema iko wazi leo Dar es salaam, movie zinazoonyeshwa nimekuwekea hapa na Trailer
Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam ratiba ya movie na Trailers zake nimekuwekea hapa mtu wangu. Location ni Mlimani City-Cinema…
Ikufikie hii taarifa kuhusu utaratibu wa kutangaza Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015.. (Audio)
Tukiwa bado tuko kwenye headlines za Uchaguzi Mkuu Tanzania 2015 najua nina watu wangu mnaotaka kufahamu kuhusiana na yale masanduku ya kupigia kura au mchakato wa kupigia kura, sasa hivi…
Serena Williams kuwa nje ya uwanja kwa mwaka mzima.
Mcheza tennes maarufu duniani kwa ubora Serena Williams atapumzika kucheza mchezo huo kwa mwaka mzima kutoka na kuwa na majeraha. Mshindi huyo wa Grand Slam 21 alitolewa kwenye michuano ya…
Weekend hii Rick Ross anaileta kwako ‘Money Dance’ feat. The Dream. (Video).
Boss wa Maybach Music Group (MMG) Rick Ross anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani, kwa wiki kadhaa sasa rapper huyo amekuwa akiachia nyimbo mpya kila wiki zote zikiwa zinatoka kwenye…
Magazeti ya Tanzania Octoba 2, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Octoba 2, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…