Waangalizi wa Uchaguzi Tz, Lubuva na Wanasiasa, Magufuli na wala rushwa, Lowassa mbinu mpya za kampeni. (Audio).
Good Morning mtu wangu, leo ni tarehe 1 October 2015 na kama kawaida siku lazima ianze na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM The Peoples Station... kama zilikupita na hukuzisikia karibu ucheki…
Tuzo nyingine zinazowahusu wakali wa Nigeria 2015, Diamond Platnumz nae yumo..!!
Ukitaja Tuzo kubwa zinazohusu Muziki wa Tanzania ni Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards... Nigeria nao wanazo za kwao, zinaitwa Headies Awards na good news ni kwamba tayari wakali wanaowania Tuzo…
Magazeti ya Tanzania Octoba1, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi Octoba 1, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Baadhi ya mahujaji kutokea Mecca Saudi Arabia wameanza kurejea Tanzania…(Audio)
Ni Moja ya Habari zilizogusa Vichwa vingi vya Habari Duniani September 24 2015 imeripotiwa Taarifa kuhusu watu zaidi ya 700 kufariki kwenye Msikiti Mkuu ambao Waumini wa Dini ya Kiislamu…
Pale ambapo viatu vimesababisha Mwanariadha wa Kenya ashindwe kuvunja Rekodi ya Dunia..
Eliud Kipchoge ni Mwanariadha aliyewakilisha Kenya kwenye Mashindano ya Riadha ya Berlin Marathon ambayo yamefanyika Berlin Ujerumani… Round ya kwanza haikuwa na neema kwake, ulimi wa ndani ya viatu ulitoka…
DC Paul Makonda leo katembelea Gereji na Viwandani, ishu ni Kipindupindu? Mikataba yao? (+Audio)
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, DC Paul Makonda leo September 30 2015 kakatisha kwenye baadhi ya maeneo ndani ya Wilaya ya Kinondoni eneo la Mikocheni ambako kuna Garage za Magari…
Kuondolewa kwa mabango ya vyama, tume ya Uchaguzi wameyazungumza leo Sept 30, 2015
Tukiwa bado katika headlines za Uchaguzi 2015 kumekuwa na matukio mbalimbali yanayotokea kama kuondolewa kwa mabango au kuhusiana na wagombea kuzidisha muda katika kampeni zao sasa leo Sept 30, 2015…
Kumbe Rais Museveni alimsalimia Rais Obama kwa mkono wa kushoto, kuna tatizo? (+Video)
Kuna ishu ya baadhi ya watu kutumia mikono ya kushoto kuandika badala ya mkono wa kulia kama ambavyo imezoeleka, hiyo sio story ya kushangaza, lakini ni kawaida watu kusalimiana kwa…
Kutana na mtoto wa wiki 5 tu lakini kavunja rekodi kwenye mashindano ya Urembo..Pichaz
Imezoeleka wanaoshiriki mambo ya urembo ni mabinti ambao tayari wanajitambua na wenye uwezo wa kujibu maswali pale wanapokuwa wakihojiwa. Hii imekuwa tofauti kwa Matilda Mackie mtoto aliyeshiriki mashindano hayo akiwa…
Mtu wangu wa nguvu haya ni matokeo ya mechi ya Mtibwa Sugar Vs Yanga na mechi nyingine za Sept 30 (+Pichaz)
Bado Ligi Kuu soka Tanzania bara inaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, September 30 Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Dar Es Salaam Young African…