Mtu wangu wa nguvu haya ni matokeo ya mechi ya Mtibwa Sugar Vs Yanga na mechi nyingine za Sept 30 (+Pichaz)
Bado Ligi Kuu soka Tanzania bara inaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, September 30 Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Dar Es Salaam Young African…
Bibie hakutaka utani, kaamua kutumia Bango kubwa barabarani kutangaza Ndoa imevunjika..
Kuna msemo wa Kiswahili unasema, 'Simulia ila usiombee yakukute' !! Pata picha tukio la mpenzi wako analipia kabisa liwekwe Bango kubwa barabarani lenye ujumbe kwamba wewe na yeye biashara yenu…
Nicki Minaj kumbe ana kipaji cha kuigiza… Haya ni mengine yakutegemea kutoka kwake!
Wengi tunamjua Nicki Minaj kama msanii wa HipHop mwenye hit songs nyingi kama Super Bass, Anaconda na Feeling Myself... Lakini ulishawahi kuvuta picha ya Nicki Minaj kama msanii wa kuigiza?…
Rais wa Nigeria kajipa majukumu haya mengine ndani ya serikali yake…
May 29, 2015 Muhammadu Buhari aliapishwa kuwa Rais mpya wa Serikali ya Nigeria. Baada ya kuingia madarakani moja ya vipaumbele vya Buhari aliahidi kupambana na rushwa na ubadhirifu wa mali za…
Ninazo pichaz za mwanzo kutoka uwanja wa Jamhuri Morogoro Mtibwa Sugar Vs Yanga
Ikiwa zimesalia dakika kadhaa kabla ya kuanza kwa mechi ya Ligi Kuu soka Tanzania bara, mechi ambayo inazikutanisha timu za Mtibwa Sugar dhidi ya Dar Es Salaam Young Africans, naomba nikusogezee pichaz…
Mixtape ya Drake na Future imegusa nafasi ya juu kwenye chati ya Billboard Marekani!
Mwaka huu umekuwa poa sana kwa mastaa wa muziki wa Hip Hop Marekani Drake na Future... mixtape yao ya What a Time to Be Alive imeweka headlines nyingi sana Marekani…
Ben Pol kazungumzia Sophia Remix, Bil Nas na ngoma mpya, Diamond kwenye mahojiano CNN..#255
Kupitia zile headlines za 255 leo Perfect amezungumza na Ben Pol kuhusu show ya weekend iliyopita ya Kili Fest, jamaa kazungumzia remix ya ngoma yake mpya ya 'Sophia', amesema ili kuifanya…
Kumbe watu wengi hutumia Facebook kuwafuatilia wapenzi wao wa zamani!
Kuachana na mtu uliyekuwa unampenda inauma sana na kujaribu kuweka mawasiliano na ex boyfriend ama ex girlfriend wako inaweza kukuletea stress kubwa sana licha ya kila mtu kuwa na namna…
Nimekusogezea list ya nyumba 15 za mastaa zilizoongoza kwa ufahari hadi kufikia Nov.2013
Mastaa wengi wamekuwa wakijituma katika kazi zao ili kuhakikisha wanaishi maisha ya kifahari kulingana na kazi wanazofanya., wengi huwekeza zaidi katika majumba ya kifahari, magari na hata wengine katika biashara.…
Hizi ni safari ndefu zaidi za Ndege Duniani, unakaa mpaka saa 17 angani mtu wangu.. (+Pichaz)
Unaweza ukaona safari ya kutoka Mwanza mpaka Dar es Salaam ni ndefu kwa sababu unatumia kati ya saa 12 mpaka 16 ndani ya basi, lakini kwa Usafiri wa Ndege ni…