Kama wewe ni mtumiaji wa Twitter basi mpango huu ukufikie!
Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu mtandao wa Twitter kuongeza idadi ya maneno ya kutweet kwa Tweet moja... kwa sasa Twitter inamruhusu mtumiaji kutumia uwingi wa maneno 140 tu kutweet message…
Je Unaruhusiwa kuingia na nguo ya chama au kupiga kampeni tarehe 25 October?, majibu yako hapa
Tukiwa bado tupo kwenye headlines za Uchaguzi 2015 hivi karibuni kumekuwa na taarifa zilizoenea kuhusu vijana waliopatikana katika mikoa kadhaa kusimamia kura au masanduku ya Uchaguzi Mkuu 2015 katika kila…
Klabu ya Man United ipo tayari kumuuza Victor Valdes ila kwa sharti hili…
Klabu ya Manchester United ipo tayari kuvunja mkataba na golikipa wa kihispania Victor Valdes, baada ya pande zote mbili kukaa chini na kukubaliana kuhusiana na suala hilo, Klabu ya Manchester United…
Ripoti nyingine kutoka Saudi Arabia, idadi ya Watanzania waliofariki, waliopotea na majeruhi… (+Audio)
Bado tunaendelea kupokea Ripoti kutoka Mji Mtakatifu wa Mecca, Saudi Arabia ambako lilitokea tukio la Mahujaji zaidi ya 700 kufariki wakati wa Sala ya Hijja... Kwenye taarifa ambazo tunaendelea kuzipokea sasahivi…
Baada ya kufanyiwa udhalilishaji nahodha wa Azam FC, Diamond Platnumz kayazungumza haya…
Ni stori iliyochukua headlines kwenye upande wa soka September 27 katika mechi kati ya Azam FC dhidi ya Mbeya City mchezo uliochezwa katika uwanja wa Azam Complex Mbande Chamazi, nahodha…
Mtoto wa Marehemu Paul Walker kapeleka Kesi ya Kifo cha baba yake Mahakamani, madai yake ni haya…
Marehemu Paul Walker alikuwa mmoja ya wakali ambao wamecheza movie za Fast & Furious… Kifo chake ni moja kati ya vifo vilivyoshtua na kuwaumiza watu wengi Duniani. Jamaa alifariki kwa…
Familia ya Kanye West kupokea ugeni mkubwa tarehe 25 December!
December ya mwaka huu itakuwa poa sana kwa familia ya Kanye West kwani mtoto wao wa pili anategemea kukaribishwa duniani tarehe 25 December, yani siku ya Christmas day mtoto North…
Manny Pacquiao kurejea ulingoni mwakani, atapigana na nani? jibu lipo hapa…
Bondia wa kimataifa wa Filipino Manny Pacquiao ambaye mwezi May mwaka 2015 alipigana na bondia mwenye rekodi ya kutopigwa Floyd Mayweather, ameanza kurejea katika hali yake ya kawaida baada ya kufanyiwa…
Waje Feat. Patoranking- ‘Left for Good’ itakuja na muonekano huu… Pichaz (Behind the Scenes)
Good news ikufikie kwamba anytime kitu kitakuwa hewani, Video ya mdundo uliowakutanisha wakali wawili wanaowakilisha good music toka Nigeria, Mrembo Waje pamoja na mkali wa 'My Woman My Everything', Patoranking... Ngoma yenyewe ni …
Makamu wa Rais wa zamani wa FIFA kakumbana na kifungo hiki baada ya kamati ya maadili kukaa…
Aliyekuwa makamu wa Rais wa Shirikisho la soka duniani (FIFA) Jack Warner amengia kwenye headlines kwa mara nyingine tena September 29. Jack Warner ambaye alistaafu nafasi hiyo miaka minne iliopita,…