Pale ambapo Refa anaamua kutumia Bastola baada ya mambo kuharibika Uwanjani..
Mara nyingi tumezoea kuona waamuzi wakitumia madaraka yao kuwaonya wachezaji soka uwanjani kwa kadi za manjano na kadi nyekundu kama kosa ni kubwa, lakini hii imekuwa tofauti kidogo kwa muamuzi Gabriel…
Mtoto akigusana na mtu mwenye Kipindupindu, kuna uwezekano akapata maambukizi ? (+Audio)
Soudy Brown leo alikua akipiga stori na Mrisho Mpoto ambaye wamezungumza kuhusu ugonjwa wa Kipindupindu unavyosambaa.. Soudy akagusia pia kama kuna uwezekano mtoto akapata maambukizi ya kipindupindu baada ya kugusana…
Kaajiriwa na kusimamishwa kazi ndani ya Dakika 30, kisa michoro ya Tattoo mwilini …!!
Unaambiwa ni ndani ya kama dakika 30 tu mtu kaajiriwa na kaikosa kazi ndani ya muda huohuo, kisa michoro ya tattoo… Claire Shepherd ni mwanamke ambaye ana umri wa miaka…
Staa wa Man United kwenye headlines na mpenzi wa zamani wa Chris Brown (+Pichaz)
Winga wa kimataifa wa Uholanzi anayekipiga katika klabu ya Manchester United Memphis Depay, ameingia kwenye headlines na mpenzi wa zamani wa staa wa muziki wa Marekani. Memphis Depay ambaye amejiunga…
Mabeste, mpenzi wake kwenye Video moja, Navy Kenzo na show ya KiliFest, Gharama za Lebo ya QS ..#255
Ijumaa hii Mabeste anatarajia kuachia Video ya ngoma yake mpya...amesema ameamua kumtumia mama wa mtoto wake aitwaye Lisa kama Video Queen wa ngoma yake mpya 'Usiwe Bubu'...amesema ameona afanye naye ili…
Dully Sykes kathibitisha hutomwona kwenye Kampeni za Siasa, Kupiga Kura je? (Audio + Pichaz)
Dully Sykes ni Mkongwe wa Bongo Fleva, japo wapo Mastaa wengine pamoja na wakongwe kama yeye ambao wamejiingiza kwenye Siasa kwa kuwapigia Kampeni Wagombea wa nafasi mbalimbali... Dully aliandika kwenye…
Hekaheka ya Mama kumnyonyesha mtoto wa mwenzake imefika Polisi..(Audio)
Hekaheka ya leo inatokea maeneo ya Mbagala ambapo kuna mama mmoja anatuhumiwa kumnyonyesha mtoto wa jirani yake...alimchukua mtoto wa jirani yake huyo na kumnyoshesha baada ya kumkuta analia. Dada wa…
Staa wa Movie toka Nigeria, Genevieve Nnaji anakuja na hii mpya, nimeinasa Trailer yake.. (Video)
Taarifa ikufikie kwamba Staa wa Movie toka Nigeria, long time sana yuko kwenye game bado ana nguvu ya kutusogezea vitu vizuri.. Jina lake ni Genevieve Nnaji, japo nguvu yake kaiweka…
‘Strong Girl remix’ ndani wamo Diamond, Vanessa, D’banj, Waje, Yemi Alade…Video
May mwaka huu wasanii mbalimbali wa kike Africa waliungana na kutoa Video ya wimbo wa Strong Girl ikiwa ni kampeni zao za kuhamasisha elimu kwa wanawake na watoto wa kike…
Abiria kakosea mlango Ndege ikiwa angani, badala ya chooni akaenda kwenye mlango wa kutokea nje..
Ndege ya Shirika la KLM ilikuwa katikati ya safari kutoka Edinburgh kwenda Amsterdam, Uholanzi... ilibaki kidogo mambo yaharibike katikati ya safari.. abiria mmoja akakosea mlango, badala ya kufungua mlango wa kuingia…