Kunguni wamevamia Hostel za Chuo Kikuu Lagos Nigeria, Wanafunzi wamegoma na hali ni hii!!
Jumatatu September 28 2015 moja ya Story zilizonifikia ni hii kutoka Lagosa Nigeria... Unajua usingizi ni moja ya vitu muhimu sana ambavyo unatakiwa kuvipata ukiwa mahali penye utulivu wake kabisa,…
Chris Brown kunyimwa Visa ya kufanya tour Australia!? Majibu ninayo hapa…
Kwenye headlines za burudani leo nimekutana na stori moja inayomhusu R&B superstaa Chris Brown ambaye kwa mujibu wa mtandao wa The Guardian inasemekana kuwa staa huyo amenyiwa Visa ya kwenda…
Cynthia Morgan kaileta kwenu ngoma yake mpya ‘Simatiniya’…Video
Cynthia Morgan kutokea pande za Nigeria amerudi kwenye headlines za burudani baada ya kuileta video yake mpya ya 'Simatiniya' huku ndani ya video hiyo akionekana Burna Boy. Nakukaribisha kuitazama hapa…
Dully Sykes hana Chama? Maneno yake ni haya, wanaodhalilishana na matusi Mitandaoni ?!
Tumeona list ya mastaa wengi wa Muziki na Movie Bongo kwenye Majukwaa ya Kampeni wakiongozana na Wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi ya Urais Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika October…
Mashabiki 10 walioamua kutumia pesa zao ili wafanane na mastaa hawa…(Pichaz&Video)
Kila shabiki wa mtu yeyote maarufu iwe kwenye muziki, mpira au movie anao uhuru wake wa kufanya kile kitu anachoona kinafaa ili kuweza kudhihirisha mapenzi yake kwa yule staa anayemkubali.…
Ijue sababu ya Drake kufanya remix ya ‘Ojuelegba’ na mtazamo wa muziki wake Nigeria!
Msanii kutoka Nigeria, Wizkid alipata shavu kubwa sana kwenye headlines za entertainmnet Marekani baada ya superstaa kutoa Cash Money Records, Drake kuomba kufanya nae remix ya wimbo wake wa Ojuelegba…
Mpya ya Flo Rida ilikupita? ‘My House’ imenifikia na video yake ninayo hapa tayari. (Video).
Baada ya kuachia GDFR, rapper kutoka Miami, Marekani Flo Rida ameamua kurudi na video ya wimbo wa My House, wimbo unaopatikana kwenye EP yake aliotoa miezi michache iliyopita. Kama wewe…
Huyu ndiyo mrembo mwenye ulemavu wa miguu na anaingiza Mamilioni kila siku !! (Pichaz&Video)
Kanya Sesser ni binti wa miaka 23 ambaye alizaliwa akiwa na ulemavu wa kutokuwa na miguu, lakini yeye ni moja ya wanawake wajasiri zaidi Duniani ambao wameamua kuthubutu na kufanikiwa…
Wachina na rekodi za nguvu, safari hii wana hili Daraja lililotengenezwa kwa kioo juu ya Milima ..!! (+Pichaz)
Kutokana na ukuaji wa Teknolojia pamoja na kasi kubwa iliyopo Duniani kwenye soko la Ushindani na Ubunifu, kila siku tunaona ubunifu mkubwa sana ukigusa headlines za habari kubwa Duniani !!…
Mbowe na NEC, Magufuli na madereva, ACT Wazalendo kutishiwa maisha? Zitto na Kafulila je? (Audio)
Good Morning mtu wangu, uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita? Ninazo zile zote kubwa kubwa za leo kwenye kurasa za magazeti, baadhi zikiwa... Mbowe afichua mchezo chafu kati ya CCM na…