Full video ya TUZO ZA KILI 2015, burudani na washindi walivyotajwa !
Tuzo za KILI ni tuzo kubwa za muziki Tanzania ambazo kwa miaka sasa zimekua zikitunuku Wasanii kila mwaka kutoka kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya BongoFleva. https://www.youtube.com/watch?v=U1Ua-UYnFYo millardayo.com inaendelea kumtafuta Ben…
Diamond Platnumz kwenye kollabo nyingine na msanii Donald kutoka South Africa!!
Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa. Tumehesabu siku siku chache zimezopita toka ilipoachiwa brand new collabo ya Love Boat ambayo Diamond kashirikishwa na msanii wa…
Meek Mill asambaza upendo kwa waislam wote na ujumbe huu wa Ramadhan.
Mfungo wa Ramadhan umeanza rasmi leo June 18 2015 duniani kote, na kwa wenzetu waislam msimu huu wa Ramadhan ni wakati wa mfungo na kusali. Meek Mill amepost kwenye ukurasa wake…
Kumbe P Square hawajaingia kanisani kusali toka mwaka 2007? Kisa ni hiki hapa…
Mastaa na maisha yao nyuma ya pazia, mengine ni haya nimeyajua leo toka kwa wakali wa Nigeria, Peter na Paul watoto wa Marehemu Chief Moses Okoye… wamesema toka mwaka 2007 …
Kilichomkuta Gavana wa benki kuu Kenya baada ya kutangaza kwamba hajaoa…
Ishu ya kuoa ni uamuzi wa mtu husika kuamua ni wakati gani anaona kwake unamfaa kufanya uamuzi huo ambapo kuna hii imetokea Kenya baada ya Gavana wa benki kuu ya…
Mabomu yalitelekezwa Nigeria, bahati mbaya ikawa kwa watu walioyakuta.. #RIP
Nigeria ni moja ya nchi ambazo ziko kwenye wakati mgumu sana kutokana na mashambulizi ya Kigaidi, stori nyingine kwenye Headlines kutoka huko inahusu ishu ya mlipuko wa mabomu ambao umesababisha…
Mbowe na hatma ya kugombea, Fomu za Sumaye nusura zichanwe na Mashine za BVR zabebwa kwa Bodaboda…#MAGAZETINI JUNE18
MWANANCHI Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amehukumiwa kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda jela mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia mwangalizi wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2010.…
Behind the scenes nyingine toka South Africa kikosi cha Yamoto Band walivyokamilisha shooting na Godfather (Pichaz)
Headlines baada ya headlines ni Yamoto Band ndani ya South Africa, pembeni Diamond Platnumz, Mkubwa Fella, Babu Tale na kazi ya kushoot iko mikononi mwa Director mkubwa Africa, Godfather. Tuliwaona…
Hustle Gang yadondosha wimbo mpya, ndani T.I, B.O.B., Yung Booke, Shad Da God na wengine. (Video)
Hustle Gang Records na music group inayo simamiwa na T.I inajulikana kwa kuwa na wasanii wakali kama first lady wa kundi Iggy Azalea na watu wengine kama B.O.B., Shad Da…
Startimes wamezidi kuthibitisha inawezekana chini yao!
Waswahili wanasema ukichemsha mawe kuni zinaisha kumaanisha kuwa kuna vitu haviwezekani lakini Startimes wamekuja kivingine kabisa na kuonyesha kunavinavyowezekana chini yao. Wakiwa ni wakali wa Digital wametuletea watanzania Androi Application…