Amber Rose kayasema haya kuhusu wanaume na tattoo yenye jina la Wiz Khalifa!
Kipindi cha nyuma Amber Rose na Wiz Khalifa walimake headlines kubwa kuhusu kuachana kwao na kusababisha mada za kila aina katika social networks za Twitter na Instagram. Lakini baada ya…
Sarkodie kaisambaza hii video mpya na Ace Hood , itazame hapa
Sarkodie ni rapper kutokea Ghana ambaye mwaka jana alishinda tuzo ya Headies Awards 2014 kwenye kipengele cha BEST AFRICAN ARTISTE ambacho miongoni mwa wasanii waliokuwa wakiwania tuzo hiyo alikuwepo Diamond…
May 2015 Jangwani ilikumbwa na mafuriko, huu ndio mwonekano wake leo June 15 2015..
Mvua ilinyesha mfululizo Dar, hali ya Jangwani haikuwa poa kabisa kutokana na ishu ya mafariko.. unadhani watu waliovamiwa na mafuriko wamehama? Wapo waliobaki na maisha yanaendelea kama kawaida japo mafuriko…
Kingine kiko hapa kuhusiana na afya ya Bobbi Kristina..
Matumaini ya kupona kwa Bobbi Kristina yamezidi kupotea huku familia yake ikiridhia mtoto huyo kurudishwa katika nyumba ya mama yake wakiamini wakati wowote anaweza kupoteza maisha. Hata hivyo bibi wa…
Mbunge Peter Msigwa hajapenda madeni yake binafsi kuzungumziwa ndani ya Bunge.. (Sauti)
Kuna mtu unaweza kumzungumzia mambo yake binafsi akakaa kimya tu asiongee lolote lakini wengine huwa hawapendi kabisa.. ishu ya kuongelewa madeni yake kwenye Kikao cha Bunge, Mchungaji Peter Msigwa hakuipenda.…
Jina la Izzo B limetumika kutapeli, hiki ndio alichokijibu kwa Soudy Brown… (UHearD #Audio)
Soudy Brown leo kapiga stori na Izzo B, rapper toka Mbeya.. ishu ni kwamba kuna jamaa mmoja kutoka Mbeya anadai kutapeliwa Shilingi elfu 50 na Izzo Bizness kwa madai alituma pesa ili…
Vitu unahitaji kujua kuhusu Huddah!
Huddah ni Mkenya ambaye alichukua headlines na uzito wa jina lake ukaongezeka baada ya kwenda kushiriki kwenye shindano la Big Brother Africa Afrika Kusini. Baada ya hapo umaarufu wake uliongezeka…
Hizi ni dalili nyingine kwamba Sepp Blatter ataendelea kubakia Rais wa FIFA??
Huku dunia ikiwa bado haijaweza kumaliza hali ya mshangao ulioibuka kufuatia taarifa za kujiuzulu kwa rais wa FIFA, Sepp Blatter.. taarifa kadhaa nyumbani kwa Rais huyo nchini Uswisi zinadai kuwa…
Maneno ya Nicki Minaj kuhusu Lil Wayne.. Maana ya tattoo zake je?
Nicki Minaj ni msanii wa kike ambaye tunaweza kumuweka kwenye level moja na mastaa kama akina Beyonce, uwezo wake wa kudondosha hits umefanya awe mmoja kati ya wasanii wakubwa kwenye muziki Duniani. Kwenye…
Picha sita za Mastaa wa Real Madrid kwenye jezi zao mpya
Klabu ya Real Madrid imezindua jezi tayari jezi mpya ambazo watazitumia kwenye msimu ujao wa soka katika mashindano tofauti kuanzia Ligi ya Mabingwa, Ligi Kuu ya Hispania na michuano mingine.…