Boti za kifahari zaidi duniani zilizotengenezwa kwa gharama kubwa pamoja na pichaz zake..
Ukiachana na ishu ya magari ya kifahari, mastaa wanapenda pia kutumia Boti kwenye maisha yao ya kuenjoy kwa upande mwingine. Katika mtandao wa The Richest wametoa orodha ya boti za kifahari zaidi…
Watu Milioni 2 wamejitokeza kuomba kazi India, unajua nafasi zilitolewa ngapi?
Takwimu zinaonesha China inashika nafasi ya kwanza kwa kuwa na Idadi kubwa ya watu Duniani ambapo ina jumla ya watu Bilioni 1.38, nafasi ya pili ni India ambayo ina jumla…
Kambi ya Magufuli?.. UKAWA na CCM.. Ahadi ya Lowassa? Utafiti wa Uchaguzi Mkuu TZ? (Audio).
Uchambuzi wa magazeti leo Jumanne 22 September 2015 @CloudsFM umekupita? Ninazo hapa zile kubwa kwenye vichwa vya habari asubuhi hii, kama zilikupita karibu ucheki na hizi nyingine hapa chini. Mwenyekiti…
Sio lazima nyumba ya matofali, Teknolojia inakupa na nyumba ya mtindo huu!! (Pichaz)
Ukimwambia mtu yoyote kwamba unatafuta vifaa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yako, moja kwa moja mawazo ya watu wengi ni kwamba nyumba yako inahitaji mawe, mchanga, cement na vitu…
Stori baada ya Stori kwenye kurasa za mbele na za nyuma #Magazeti ya #Tanzania September 22 2015..
Jumanne September 22 2015 stori baada ya stori zimegusa headlines Magazetini mtu wangu. Jumla ya Magazeti 18 ya Tanzania tayari yamenifikia leo, nimekusogezea yote kurasa zake za mbele na za nyuma…
Du!! Tazama maziwa 10 yanayotajwa kuwa na muonekano wa moyo duniani ..(+Pichaz)
Mtu wangu wa nguvu bado millardayo.com inakusogezea uzuri wa dunia, huenda umewahi kutembelea vivutio vingi vya utalii duniani lakini huenda hukuwahi kubahatika kufika wala kusikia kuhusu maziwa haya mazuri ya…
Hii ni Top 10 ya warembo wa mastaa wa Ligi Kuu soka Uingereza 2015
Tumezoea kuona mastaa kadhaa wa soka kuingia katika headlines na wapenzi wao, wakiwa wametoka out katika sehemu mbalimbali za starehe baada ya kazi nzuri walioifanya uwanjani. Stori kutoka talksport.com waliwahi…
Panya wamevamia Gereza, story ni wafungwa kuhamishwa..
Panya akiingia ndani ya nyumba na kuanza kusababisha uharibifu wake, hapo ndio ambapo unaanza kuonekana umuhimu wa kufuga paka. Zaidi ya wafungwa 4,000 wamehamishwa kutoka ndani ya gereza la Pollsmoor lililopo…
Beki aliyemvunja mguu Luke Shaw wa Man United, kafanya faulo nyingine ya hatari.. (+Pichaz&Video)
Ikiwa ni wiki moja imepita toka beki wa klabu ya Manchester United, Luke Shaw avunjike mguu wake wa kulia, baada ya kufanyiwa tackling na beki wa klabu ya PSV Eindhoven ya…
Video ya utupu ya Lil Wayne itavujishwa? mwenyewe anasemaje juu ya hili !?
Stori za wasanii kushiriki kwenye kutengeneza video za utupu zimekuwa zikiongezeka mara kwa mara... mwaka 2007 tuliipata ya Kim Kadarshian na msanii wa R&B Ray J, badaae tukaipata ya mwanamieleka…