Tamar Braxton anaisambaza rasmi video ya ‘Angels & Demons’. (Video)
Familia ya Tony Braxton ina vipaji vingi mtu wangu, Tony Braxton sio mtoto pekee mwenye kipaji cha kuimba kwenye familia yao, Tamar Braxton mdogo wake Tony nae ana vocals kali…
Ubunifu mwingine wa kuvutia mtu wangu ni kwenye hii mijengo ya Hoteli Duniani… (+Pichaz)
Teknolojia ya sasa inazidi kukua siku hadi siku, wataalam wamekuwa wakibuni vitu mbalimbali duniani kwa lengo la kuleta mvuto pia, kitru kinakuwa kwenye mwonekano wa kitofauti kabisa yani. Katika pita…
Future anauleta kwako mdundo wake mpya, ‘The Percocet & Stripper Joint’ – (Video).
Wakati bado tunaendelea kusubiria mixtape ya Future na Drake, msanii wa Hip hop Marekani Future anaendelea kuzisogeza kwetu videos za nyimbo zinazopatikana kwenye album yake DS2. Video ya The Percocet…
Alienda Nepal kutoa msaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi… kilichomtokea kinasikitisha!
Dahlia Yehia alikuwa ni msichana mwenye furaha, amani na moyo wa kuwasaidia watu wenye shida lakini ndoto zake zilifupishwa baada ya safari yake ya kwenda Nepal kwenda vibaya! Miezi michache…
Ommy Dimpoz kaibiwa simu Marekani, muhusika kajulikana…Haya ni maneno yake kwa Soudy Brown..#Uheard
Leo Soudy Brown kapiga stori na Ommy Dimpoz ambaye amesema baada ya kumalizika kwa show yao Marekani alisahau simu yake kwenye moja ya maduka makubwa ya nguo wakati akifanya shopping,…
Umeipata ya Bondia aliyefariki baada ya kupigwa Knockout? Hii hapa toka South Africa (Video)
Stori kutoka South Africa inahusu taarifa ya majonzi ambapo Bondia mmoja, Mzwanele Kompolo ambaye alipanda Ulingoni kwenye Pambano la ufunguzi siku ya Jumanne September 15 2015 alifariki muda mfupi baada ya…
Collabo ya Stereo na AY, ‘Stay’ ya Godzilla kwenye documentary, Album mpya ya Hemed PHD Je?..#255
Kwenye zile headlines za burudani leo Rapper Stereo amesema wakati wa kufanya kazi na AY umefika na sasa wanatarajia kuachia bonge la ngoma na itatoka wakati wowote chini ya Studio…
Travis Scott anataka baraka za Chris Brown ili kuwa na Rihanna kimapenzi…!? Majibu ninayo hapa.
Inawezekana sana kuwa historia kati ya Rihanna na R&B superstaa Chris Brown inawasumbua watu wengi ambao wanania ya kuwa na Rihanna kimapenzi. Rapper Travis Scott na Rihanna wamekuwa wakionekana pamoja…
Picha 7 kutoka Chato,sehemu anayotokea Mgombea Urais wa CCM..
Wakati headlines za Uchaguzi mkuu 2015 zikichukua kasi kwa kubakisha wiki kadhaa kabla Watanzania hawajapiga kura ya kumchagua kiongozi wanaemhitaji kamera ya millardayo.com imepata nafasi ya kupita mitaa kadhaa kwenye…
Kumbe JB aliwahi kutapeliwa tena akiwa nyumbani kwao kabisa? Stori yake hii hapa kwenye #Hekaheka… (Audio)
Kwenye stori ya Hekaheka leo ni ya JB kuhusu utapeli, amesema wakati akiwa nyumbani hana kazi baada ya kumaliza masomo, alipewa jukumu la kuangalia kuku na kuuza, siku moja akaja…