Jurgen Klopp kathibitisha kwamba haendi Liverpool?
Kocha ambaye ameamua kuondoka kwenye klabu ya Borrusia Dortmund, Jurgen Klopp amethibitisha kuwa hatajiunga na klabu ya Liverpool kama inavyovumishwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari barani Ulaya. Klopp majuzi…
Sentensi 15 za Waziri Steven Wasira wakati anatangaza kugombea Urais wa TZ 2015 (Audio)
Safari ya kumpata Rais wa TZ Mwezi October 2015 inaendelea, Majukwaa ya siasa yako busy kila mmoja anatangaza nia ya kugombea kwa wakati wake, hapa nina hiki alichokisema Waziri Steven…
Mbunge Augustino Mrema amelalamika tena kuhusu yaliyosemwa Jimboni kwake Vunjo !!
Ni zaidi ya mara mbili nasikia Mbunge wa Vunjo, Augustino Mrema akilalamika kuhusu kufanyiwa fitna na watu kwenye Jimbo lake la Vunjo, leo katika Kikao cha Bunge Dodoma amepewa nafasi…
Nigeria na ajali nyingine mbaya ya lori la mafuta!! R.I.P
Nigeria imeendelea kukumbwa na matukio ya vifo, baada ya tukio la kundi la Boko Haram kuvamia msikiti na kuuwa watu 16 jana, kuna taarifa nyingine ambayo si nzuri kutoka nchini…
Azinduka baada ya wiki 2 na kitu cha kwanza alichoulizia kinahusu Barca vs Juventus
Fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya ambayo itafanyika mwishoni mwa wiki hii siku ya Jumamosi, kati ya FC Barcelona dhidi ya Juventus, itakuwa ni tukio la aina yake kwa…
Huyu msichana amesema ujauzito wake Nuh Mziwanda anahusika nao !! Iko kwa Soudy Brown #UHearD
Soudy Brown ni yeye na mtaa, story na fununu za ishu za mastaa hazimpiti yani.. leo yuko nah ii ishu inayomhusu Nuh Mziwanda na Shilole. Soudy kakutana na msichana ambaye…
Olamide kwenye headlines tena.. amekuja na hii Video mpya- ‘Melo Melo’
Staa wa Nigeria Olamide baada ya kutoka na ngoma zake kadhaa ikiwemo 'Bobo', 'Falila Ketan'.. ameamua kuwasuprise tena mashabiki wake kwa mara nyingine baada ya kuachia video ya wimbo wake…
Edward Lowassa alivyowasili mbele ya maelfu ya Watanzania Arusha na kutangaza nia (VIDEO)
Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mbunge wa sasa wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa alitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania 2015 siku ya Jumamosi MAY 30 2015 kwenye…
Kilichomfanya Meneja Maneno aanze na yeye kuimba !! Chamber Squad ipo? Young Dee na video ya #Cowbama je? #255 (Audio)
Stori ya kwanza kwenye 255 inahusu kile alichokisema Meneja Maneno ambaye sasa hivi na yeye kaamua kuingia kufanya muziki. Meneja Maneno amesema mbali ya kwamba amekuwa akisimamia wasanii wengi bado…
Ukivuta sigara hadharani China kuna faini zake!!
Kuna baadhi ya nchi duniani uvutaji wa sigara ni kitu cha kawaida na ukiangalia nchi kama Jamaica wamekuwa wamehalalisha wazi matumizi ya bangi ambayo watu wake wamekuwa wakiitumia hadharani bila…