Hii ni burudani nyingine ya muziki ambayo imesogezwa kwenye simu yako na Vodacom TANZANIA
Muziki wa sasa hivi sio wa kusubiri album iingie sokoni ndio msanii account yake iingie mkwanja.. wasanii wanategemea vingi, kuna shows, kuuza ringtones.. deals za matangazo.. huko kote kuna pesa…
Ninazo hapa tayari Headlines za kilichowekwa kwenye #Magazeti leo #MAY282015 >> Udaku, Hardnews, Michezo
Ni kawaida ya millardayo.com kukufikishia magazeti mbalimbali ya Tanzania kila siku asubuhi ambayo yanakupa nafasi ya kuzijua stori kubwa zote kutoka kurasa za mwanzo na mwisho kwenye magazeti ya Udaku, michezo na…
Sentensi nne za Mrema kwa wale waliotangaza kwamba wamemfukuza TLP… (Audio)
Moja ya stori iliyowahi kuwandikwa na Magazeti ya TZ wiki chache zilizopita ilikuwa na headline kuhusu ishu ya Ripoti ya Ukweli na Maridhiano ya TLP kutangaza kwamba imemsimamisha uanachama Mwenyekiti…
Haya ndio majina ya ‘mikorogo’ ambayo nimeijua leo baada ya Wabunge kuitaja Bungeni !!
Basi kama hukupata nafasi kuwa karibu na TV au radio yako kufuatilia Bunge la leo MAY 27 2015 Dodoma, kwenye maswali na majibu likawepo na hili linalohusu mkologo.. sikujua kabisa…
Unyanyasaji huu wa mama kwa mtoto wake kwenye headlines tena.
Matukio ya unyanyasaji kwa watoto yameendelea kuchukua headlines kila kukicha sehemu mbalimbali duniani. Miongoni mwa matukio yaliyosikika siku za hivi karibuni ni pamoja na lile la mfanyakazi wa ndani kumtesa…
Kwenye #UHearD leo ni ishu ya mastaa wa Bongo Fleva kuibiwa nyumbani kwao !! (Audio)
Story ya leo inasikitisha, imemfikia Soudy Brown kaona amtafute msanii huyo ili kujua ishu nzima ikoje. Witness msanii wa muziki ambaye zamani alikuwa kundi moja na akina Shaa pamoja na…
FIFA kwenye tuhuma za rushwa, kuna hawa maafisa wana kesi ya kujibu…
Wakati uchaguzi mkuu wa Shirikisho la soka dunia FIFA ukitarajiwa kufanyika keshokutwa, leo kuna taarifa mpya kutoka ndani ya shirikisho hilo. Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa mashabiki wa soka…
Stamina na show yake Moro, Hisia nae? Dax anasimulia ya South Africa.. #255 (Audio)
Karibu tena kwenye stori za kiburudani nilizokusogezea hata mtu wangu !! 255 ina headlines za mastaa watatu leo, Rapper Stamina, Hisia pamoja na supermodel wa TZ ambaye anafanya mishe zake…
Mwanafunzi alitaka Selfie ya kipekee juu ya Mlima…kilichofuata ni Story!!
Matumizi ya picha za Selfie sasa yameanza kuleta madhara kwa baadhi ya watu ambao hutamani kupiga picha za kipekee za aina hiyo. Pamoja na upigaji wa picha hizo kuzidi kuongeza…
Majirani wamechukizwa na manyanyaso anayofanyiwa Housegirl, wanataka bosi wake akamatwe !! >#Hekaheka (audio)
Leo Tena ya akina Geah Habib, Husna Abdul na Mussa Hassan ilikuwa hewani on #CloudsFM kuanzia saa 4 mpaka saa 7 mchana.. ilikupita? Niko nayo hapa, stori inahusu unyanyasaji wa…