Video ikionyesha Mabasi mapya ya kisasa Dar yalivyofanyiwa test kubeba abiria.
August 17 2015 yalitambulishwa rasmi kwa Watanzania mabasi yatakayo safirisha abiria kwa haraka zaidi kutokana na kupita kwenye barabara yake maalum, ni mradi ambao una miaka zaidi ya 10 toka…
On AiR with Millard Ayo: mtoto wa Mchungaji aliyevua taji, hatukumsikia toka kipindi hicho.
Angel Luballa ni miongoni mwa Watanzania walioongelewa kwenye headlines za Tanzania ndani ya wiki kadhaa na baadae kupotea kwenye headlines, hakuonekana wala kuongea kwenye Media kwa miaka mingi lakini hatimaye…
Mario Balotelli kaja na hii mtu wangu kwa ajili ya watoto
Mshambuliaji wa kimataifa wa Italia mwenye asili ya Ghana anayeichezea klabu ya Liverpool ya Uingereza Mario Balotelli ambaye amezoeleka kuingia katika headlines mbalimbali kuhusiana na tabia yake ya ukorofi na…
Tayari ninayo matokeo ya Man United Vs Club Brugge (Picha&video)
Ikiwa zimepita siku kadhaa tu toka Ligi Kuu mbalimbali barani Ulaya zianze August 18 imepigwa michezo kadhaa ya kutafuta nafasi ya kufuzu kucheza katika hatua ya makundi ya Kombe la…
Mpaka mwaka 2013/2014 hizi ndio zilikuwa gari za Eto’o
Samuel Eto'o Fils ni mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon anayeichezea klabu ya Antalyaspor ya Uturuki, Eto'o ambaye amewahi kuingia katika rekodi kadhaa kama ya kuwa mchezaji wa kwanza anayelipwa mshahara mkubwa…
Orodha ya Wagombea Ubunge wa CHADEMA 2015 ndio hii imetoka!
Ni 2015 ambao ni mwaka wa uchaguzi, kila chama kinachukua headlines nyingi tu na kazi yangu mimi ni kukufikishia yote kwa ukamilifu wake ambapo hii post ni ya CHADEMA, wameitoa…
Mkusanyiko wa habari 10 kubwa za siku Amplifaya ya CloudsFM Agosti 18, 2015
Amplifaya ni show ambayo inasikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku on Clouds FM ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi kubwa za siku kutoka kwenye siasa, michezo, muziki,…
Usitegemee kumuona Ivo Mapunda Simba tena! yote mapya yako hapa (+Audio)
Golkipa mkongwe aliyewahi kucheza katika klabu za Yanga na Simba Ivo Mapunda August 18 2015 amezungumzia kilichotokea kati yake na Simba mpaka kutopata nafasi ya kuongezewa mkataba kuichezea club hiyo........…
Real Madrid na Man United za karibia kufanya biashara
Klabu ya Real Madrid ya Hispania na Manchester United kuna kila dalili za kufikia makubaliano ya kuuziana wachezaji, kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mazungumzo na mvutano kuhusu golikipa wa…
Hii mpya kutoka kwa Rita Ora imenifikia mtu wangu: “Body on Me” feat.Chris Brown (Video)
Rita Ora msanii aliyopo chini ya lebo ya Roc Nation anaziandika headlines jioni ya leo. Baada ya kuachia audio ya Body on Me siku chache zilizopita msanii huyo wa R&B…