Birdman kafikishwa tena Mahakamani, safari hii na producer wake…!
Producer wa Birdman, DVLP anamshitaki rapper huyo dhidi ya deni la dola 200,000 (sawa na Tzs. Million 400) kwa kazi za production ambazo boss huyo wa Cash Money Records hakumlipa. Producer DVLP…
Meninah ameolewa ghafla, Soudy Brown kampata kaka yake.. Kumbe mipango ilikuwa hivi !! (U Heard)
Soudy Brown huwa anazinasa stori za chinichini, anachokifanya ni kuwatafuta wahusika na kucheki nao kama kwenye hizo za chinichini zina ukweli au ni za kuzushwa, iliyomfikia jamaa leo inahusu ishu…
Fid Q ana neno kuhusu Mashindano ya Vipaji.. Chemical alianzaje rap? Stan Bakora na Batuli (255 Audio)
Kwenye zile stori za 255 leo kasikika Fid Q... kipo alichokisema rapper huyo kuhusu Mashindano mengi ya kutafuta vipaji vya kuimba, lakini mara nyingi hakuna mshindi kwa upande wa Rap. Fid…
Hekaheka ya waumini kugoma kuondoka eneo walilopewa, Polisi wakafanya kazi yao…(Audio)
Timu ya Hekaheka imepokea stori kutoka Mwanza kuhusu ishu ya waumini wa Kanisa moja ambao wanaondolewa kwa amri ya Mahakama baada ya kugoma kuondoka kwa hiari yao. Waumuni hao walipewa eneo hilo miaka mingi…
Kwenye magari makali kabisa yatakayoingia sokoni 2016, usipitwe na hii Lexus mpyampya… (Pichaz)
Najua kuna watu ni wapenzi wa magari mazuri mazuri, kwa sababu kila siku tunaona kuna aina mpya ya magari ambayo yanatambulishwa Duniani, nimeipata hii ya leoleo nikaona hata nisiikawize, na…
Manchester United imefikia Hoteli hii kujiandaa na Mechi yao ya August 18 2015 na Club Bruges
Kwa Mashabiki wa Soka la Uingereza na Ulaya najua waliweka Kumbukumbu ya hii tarehe, August 18 2015 ambapo Mabingwa na Wakongwe wa Soka Uingereza, Manchester United watakutana na wakali wa Club Bruges. Mchezo…
Hii ndio Kampuni iliyovunja Rekodi kununua ndege 250 kwa wakati mmoja.. !! (+Video)
Hii imeingia kwenye rekodi kubwa za duniani 2015, inahusu ishu ya Kampuni moja ya Ndege kusaini dili ya kununua ndege 250 kwa wakati mmoja, tena ni ndege kubwa za abiria…
Tyga anataka na hii mpya kutoka kwake ikufikie: “Bu$$in Out Da Bag”. (Video)
Msanii wa Hip Hop Marekani kutoka kwenye kundi la Cash Money Records Tyga amerudi kuziandika headlines zake kwenye ubao wa burudani. Time hii anakuja na ngoma mpya iliyopewa jina Bussin Out…
Picha za muonekano wa mabasi mapya ya Mwendokasi Dar es Salaam
Jana nilikusogezea stori kuhusiana na huu mradi wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) sasa hapa ni time ya kuona hizi picha za muonekano wa mabasi hayo kwa ndan na nje.. PAPO…
Rose MUHANDO matatani, Mama aua mtoto kwa sumu, UKAWA wamwonya JK, Kipindupindu..#StoriKubwa
MTANZANIA UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wamemuonya Rais Jakaya Kikwete, wakisema ndiye mwenye dhamana ya kulinda usalama wa wananchi na akiendelea kutumia vibaya vyombo vya dola, Novemba mwaka huu…