Mgombea Urais ACT leo, Mabomu msafara wa LOWASSA na Mrithi wa Askofu MALASUSA..#StoriKubwa
MWANANCHI Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Ukawa, Edward Lowassa jana kwa mara ya kwanza alikumbana na joto la upinzani baada ya msafara wake kushambuliwa na mabomu ya polisi.…
Picha nyingine za Edward Lowassa Arusha kwenye mkutano.
Safari ya Mgombea Urais wa CHADEMA na UKAWA, Edward Lowassa kutafuta Wadhamini Mikoani ilianza August 14 ambapo alishuka Mbeya katika Viwanja vya Shule ya Ruanda Nzovwe, alafu August 15 2015…
Magazeti ya Tanzania Agosti 16, 2015.. michezo na hardnews !
Good morning mtu wangu.. Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili Agosti 16,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo…
Pichaz kutoka Dar es Salaam kwenye Fainali ya Kinondoni Talent Search, Rais JK Mgeni Rasmi..
Safari ya Vijana ambao waliamua kufungua milango kuelekea ndoto zao, kutumia vipaji vyao ili viwe ajira kupitia Mchakato wa Kinondoni Talent Search, usiku wa August 15 2015 tayari imefikia hatua…
Show ya Party in The Park yafana jijini Dar es Salaam….(pichaz)
Ni Agosti 15 ambapo wakali kutokea Afrika Kusini, Mafikizolo, Black Motion, XOLI M, Beatenberg walishea jukwaa moja na Sauti Sol, Ali Kiba, Feza Kessy kwenye show iliyopewa jina la Party…
Matokeo ya mechi ya Simba Vs URA yapo hapa (Full time)
Klabu ya Soka ya Simba imerudi uwanjani August 15 kupimana nguvu na URA ya Uganda mchezo umemalizika kwa kwa timu ya Simba ambayo ndio mwenyeji wa timu ya URA kuibuka…
Baada ya kutoka Mbeya, Arusha imempokea hivi Lowassa leo, yeye na watu wake wa CHADEMA… (Pichaz)
Safari ya Mgombea Urais wa UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa kutafuta wadhamini, baada ya kutoka Mbeya jana, leo August 15 2015 safari imeendelea Arusha. Mkutano unaendelea katika Viwanja vya Tindinagi,…
Kinachoendelea Uwanja wa Taifa, Simba vs URA vikosi vipo hapa
August 15 klabu ya Simba Sports inarudi uwanjani kucheza mechi yake ya pili ya kirafiki ya kimataifa ambayo safari hii inacheza na klabu inayomilikiwa na mamlaka ya mapato ya Uganda…
Kwenye countdown nyimbo 40 anazosikiliza Rais Obama kwa sasa, midundo ya Reggae na Hip Hop nayo imo..
Ilianza kutoka Ripoti katikati ya Mwezi May 2015 kwamba account ya #Twitter ya Rais Barack Obama ilianza kuendeshwa na yeye mwenyewe tofauti na ilivyokuwa mara ya kwanza ambapo kuna wahusika…
Ukizusha ishu mitandaoni China hawakuachi, hii ndio idadi ya account zilizofungwa kwa kuandika uzushi..
Taarifa rasmi kutoka TCRA ni kwamba Sheria ya Matumizi ya Mitandao itaanza rasmi September 2015 Tanzania, hali iliyopo sasahivi kumekuwa na ishu ya uzushi na uvumi mwingi sana mitandaoni, wapo…