Serikali yakanusha Ebola, JK, LOWASSA uso kwa uso leo na Wabunge wanne wakatwa…#MAGAZETINI AUGUST13
MWANANCHI Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imefafanua kuwa hakuna uthibitisho kwamba mkimbizi aliyekufa kwenye kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma, alikuwa akiumwa ugonjwa wa ebola. Agosti 9 mwaka huu,…
Waliopitishwa Ubunge CCM, Dk. Mwakyembe kuhusu Mishahara? Kimbunga cha wanaohama CCM.. (Audio)
Kwenye stori kubwa AUGUST 13 2015 kuna hizi pia mtu wangu zenye headlines kubwa Magazetini. Kimbunga cha Lowassa chaendelea kuwang'oa vigogo wa CCM na kuwapeleka CHADEMA... Vigogo wapenya uteuzi wa…
Stori zote kubwa nilizozinasa kutoka ndani ya Magazeti 9 ya Tanzania leo August13
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter @millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Leo nimepita kwenye hili soko la Samaki, takwimu na idadi ya wafanyabiashara hizi hapa
Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia na leo nimepita Feli Dar es Salaam ambapo ni eneo linalohusika na shughuli za uvuvi wa Samaki. Inawezekana ukawa ni mpenzi wa…
Mzazi kakatisha uhai wa watoto sita, kisa ni amri za MUNGU kukiukwa na mtoto wake…
Stori inasikika kutoka Texas Marekani, inamhusu mwanaume mmoja aliyeamua kukatisha maisha ya watoto 6, mmoja ya watoto wao ni mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 13 !! David Conley amekamatwa…
Dakika 7 za mwigizaji Frank kwenye #AyoTV baada ya kupita kura za Ubunge (Video)
Frank ni mwigizaji wa longtime sana Tanzania kuanzia kuigiza maigizo ya TV mpaka kucheza movie za Kitanzania,alijitokeza kugombea Ubunge. Ayo TV alimtafuta mwigizaji huyo aeleze namna alivyoshinda kura za maoni…
Magazeti ya Tanzania Agosti 13, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Good morning mtu wangu.. Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi Agosti 13,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo…
Kaseja haonekani uwanjani, vipi kaachana na soka? Kauli yake ni hii hapa (+Audio)
Golikipa wa zamani wa klabu za Simba na Dar Es Salaam Young Africans, Juma Kaseja baada ya kukaa nje ya uwanja kwa Zaidi ya miezi sita vipi kastaafu soka kimyakimya…
Simba ina wachezaji wengi vijana, unajua wanamuitaje Mgosi? Jibu lipo hapa kwa sauti yake kabisa…
Mkongwe wa klabu ya Simba Mussa Hassan Mgosi ambae kwa sasa baada ya kurejea katika kikosi cha Simba amerudishiwa majukumu yake ya zamani kama nahodha wa timu hiyo na Hassan…
List ya Top10 ya stori zilizosikika kwenye Amplifaya ya CloudsFM Agosti 12 2015
Kama utaweza kuwasha radio yako na kujiunga na CloudsFM kila Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku utakutana na mtu wako wa nguvu Millard Ayo ambaye kazi yake ni kuzikusanya…