Yanga na Azam FC wamewazuia wachezaji wao Taifa Stars, Mkwasa kafanya maamuzi haya
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Charles Borniface Mkwasa ameamua kufanya maamuzi ya ziada baada ya klabu za Azam FC na Yanga kutowaruhusu wachezaji wake kujiunga na…
Stori 10 za AMPLIFAYA Agosti 11, 2015 kwako uliezikosa mtu wangu nimekuwekea hapa
Amplifaya ni show inayosikika on Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku mpaka saa tatu ikihusika na utoaji wa habari kumi muhimu za siku, stori kubwa za kwenye…
Ridhiwani Kikwete kaweka hii picha ya Mbowe na kuyaandika haya
Ni stori ambayo imechukua headline kwa mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowejana Aug 10 2015 baada ya kumaliza harakati za kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya…
Hiki ndicho anachoamini Manuel Pellegrini kuhusu Yaya Toure
Kocha wa klabu ya Manchester City ya Uingereza Manuel Pellegrini ana matumaini ya kupona kwa kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast Yaya Toure ambae alikuwa na wakati mgumu msimu uliopita…
Rais Jakaya Kikwete ametangaza mabadiliko haya ya Mabalozi…
Jioni ya Aug 11 Rais Jakaya Kikwete ametangaza mabadiliko ya Mabalozi kadhaa pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Mabadiliko hayo yamenifikia pia mtu wangu na barua hiyo imeandikwa…
Hii ni idadi ya wasiomkubali Rais Kagame kuendelea kubaki madarakani…
Rais wa Rwanda Paul Kagame aliingia madarakani tangu mwaka 1994 na anatarajia kumaliza muda wake mwaka 2017. Gazeti ya News Times kupitia kwa wachambuzi wa kisheria limesema kuwa kati ya watu…
List ya mastaa wa soka Afrika wakiwa na wapenzi wao…(Pichaz)
Wanapokua mbali na kazi zao za kila siku kila mtu hupenda kujumuika na familia au ndugu wa karibu kwa ajili ya kubadilishana mawazo, hii pia hujitokeza hata kwa mastaa wengi…
Victor Valdes ataja mtu pekee anayeweza kuishi nae
Ikiwa zimepita wiki kadhaa toka golikipa wa Manchester United Victor Valdes hashindwe kuwa katika mahusiano mazuri na kocha wake Louis van Gaal ambae ana amini Valdes ni mtovu wa nidhamu, na…
Wapendanao waliokubali kufa Jangwani ili kumwokoa mtoto wao.. (+Video)
Mtu na mpenzi wake walianza safari ya Kutalii Jangwani wakiwa na mtoto wao pamoja na akiba kidogo ya maji ya kunywa wakiwa kwenye safari yao Jiji la New Mexico Marekani ambapo…
Rais wa TP Mazembe anaitamani Siasa? Urais wa Congo DRC ataweza??
Rais wa Klabu ya TP Englebert Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Moise Katumbi Chapwe ametajwa kuwa na mpango wa kuingia kwneye mbio za kuwania urais wa nchi hiyo unaotarajiwa kufanyika…