Update baada ya Freeman Mbowe kulazimika kupelekwa Hospitali jana.
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe jana Aug 10 2015 baada ya kumaliza harakati za kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais kwenye tume ya taifa…
Soudy Brown kwenye U Heard, leo ni Nuh Mziwanda na Idris… Kisa Shilole? (Audio)
Kulikuwa na voice note ambayo ilichukua headlines sana, zinasikika sauti za watu wawili ambao ni Wema Sepetu na Nuh Mziwanda, kinachoongelewa ni ishu ya mapenzi. Baada ya hapo kukawa na…
Pichaz 18 za Makocha wa zamani Ligi Kuu Uingereza ambao walikuwa Wachezaji pia…
Katika hali ya kawaida imezoeleka kuwa makocha wa timu za soka mara nyingi huwa wamewahi kucheza soka katika kiwango cha juu au walau kiwango fulani ambacho kinawaruhusu kuwa na uelewa…
Camera zilivyomnasa Raheem Sterling mpaka kwa shabiki aliyempa jezi yake… (Pichaz)
Winga wa Manchester City, Raheem Sterling ambaye amejiunga na timu hiyo baada ya kununuliwa toka Liverpool ameonekana kuanza kuwavutia mashabiki wa klabu yake mpya baada ya kitendo chake cha kugawa…
Manchester City na Manchester United wanaingia vitani kwa sababu ya kumsaka Pedro Rodriguez? Pesa tatizo?
Huku Manchester United wakionekana kujiandaa kutangaza usajili wa kiungo mshambuliaji Pedro Rodriguez, mahasimu wao toka Jijini Manchester, Man City wameingilia kati usajili huo na kutishia nafasi ya United. City kupitia kwa…
AyoTV: Peter wa P Square kamzungumzia Diamond Platnumz na wanachotakiwa kukifanya Watanzania.
Peter ambaye ni mwimbaji kutoka kundi la P Square aliongea na ripota wako Millard Ayo kuhusu Diamond Platnumz na kitu Watanzania wanatakiwa kufanya lakini pia amezungumzia kolabo yao, hii video…
Hemedy PhD atawataja warembo wake? Navy Kenzo Feat. Pah One? Skywalker na wimbo wa Dr. Dre… #255
Kutoka Dar es Salaam Tanzania, story ya kwanza kwenye zilizosikika kwenye 255 wakati show ya XXL ikiwa hewani, inamhusu Skywalker, kuhusu yeye leo ni ishu ya kubadili wimbo wa Dr.…
Maneno ya Edward Lowassa baada ya kuchukua Fomu ya Urais NEC kwenye video ya dakika 28
Tumeshuhudia pichaz na video zilizonaswa jana kwenye msafara wa Mgombea Urais UKAWA, Edward Lowassa na wenzake walivyotoka Makao Makuu ya CUF Buguruni mpaka Posta kwenye Ofisi za NEC kwa ajili…
Jux Feat Joh Makini- “I’m Looking for You” (Video)… Exclusive inaanzia kwenye TV station kubwa Africa leoleo…
Msanii wa Bongo Flava Jux anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani, Jumanne hii August 11 2015 good news ni kwamba saa kumi na mbili jioni kwa saa za Afrika Mashariki video…
Ni headline baada ya headlines.. hii ni nyingine kutoka kwa Miss Tanzania 2012
Shirikisho la Ngumi za kulipwa la Afrika (IBF Africa) kwa kushirikiana na Taasisi ya Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Foundation (BAF) wameandaa mapambano ya ngumi ya kimataifa kwa kushirikisha mabondia…