Sikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz – Mdogo Mdogo.
Miezi kadhaa iliripotiwa kuvuja kwa wimbo huu ambao uko kitofauti kidogo na aina ya muziki anaoufanya Diamond Platnumz,huu ni umeshakamilika na ameutoa kwa ajili yako unaitwa Mdogo Mdogo. Bonyeza play…
Pichaz za utengenezaji wa video mpya ya Kala Jeremiah feat. Ney wa Mitego&Mo Music.
Hizi ni picha zitakazoonekana kwenye video mpya ya Kala Jeremiah ya wimbo wake unaoitwa Simu ya Mwisho,audio imetengenezwa na Mona Gangstar toka Classic Sound na upande wa video imetengenezwa na…
Kama ulimis hotuba ya Bajeti kwa mwaka 2014/2015,ipo yote hapa.
Una haki ya kupata chochote kinachonifikia mtu wangu wa nguvu hii baada ya kuipata nimeona haitokua nzuri kama nisiposhirikiana na wewe kuisoma,kama ilikupita hii ndiyo hotuba waweza kuisoma na wewe…
Unaambiwa huyu ndiye kocha anayelipwa pesa nyingi kuliko wote,ipo pia list ya makocha wengine.
Nikikuuliza kama kocha gani uliyewahi kuhisi analipwa pesa nyingi atakua nani pengine ungetaja wengine unaowafahamu lakini sasa unaambiwa kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza Fabio Capello ndiye…
Umeisikia hii ya jamaa kuamua kufanya sherehe baada ya mtu wasiyempenda kufariki.
Kila siku Duniani kunakua na vituko vya aina tofauti sasa hii unaambiwa jamaa wameamua kufanya party baada ya mtu anaesemekana hawampendi kufariki dunia. Kwa hali ya kawaida unaweza kushangaa wanawezaje…
Ule wizi wa vifaa vya magari umerudi tena,huyu ndiye producer wa Bongo aliyeibiwa hivi karibuni.
Matukio ya wizi wa vifaa mbalimbali vya magari kwa mastar wa Tanzania ulikua ukichukua headline sana kupitia vyombo mbalimbali vya habari kwa miezi kadhaa iliyopita kisha kukawa kimya. Baadhi ya…
Picha 32 baada ya moto kuteketeza soko la mitumba Karume.
Kwa mujibu wa mashuhuda kadhaa waliokuwepo katika eneo la tukio tangu moto huo unatokea, Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana ingawa wana wasiwasi na hitilafu ya umeme iliyojitokeza usiku wa…
Mtoto wa R Kelly atangaza kujibadilisha jinsia.
Mtoto wa miaka 14 wa mwanamuziki mkongwe wa R&B wa nchini Marekani R Kelly ametangaza kubadilisha jinsia yake kupitia mitandao ya kijamii. Mtoto huyo aitwaye Jaya alizaliwa mwanamke lakini akachukua…
Robot ya kwanza yenye “Moyo” na uwezo wa kusoma hisia za mwanadamu.
Kampuni ya Soft Bank ya nchini Japan imetengeneza Robot ambayo ina uwezo ya kuwasiliana na kusoma hisia za mwanadamu. Robot hiyo iliyopewa jina la Pepper inadaiwa kuwa ina uwezo wa…
Mwanamke mwingine abakwa na kuning’inizwa juu ya mti India.
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 19 amekutwa amening'inizwa juu ya mti katika kijiji kimoja Kaskazini mwa India, likiwa ni tukio la tatu kutokea ndani ya wiki moja katika Jimbo…