Cheki usiku wa Out All Night ulivyokuwa Club Bilicanas.
Ni usiku ambao ulikua umetawaliwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wa Tanzania ndani ya Club Bilicanas,hapa nakuonyesha picha jinsi kilivyo happen ndani ya Bilicanas kulikua na Young Killer,Godzila,Young D,Navykenzo,Mwana…
Huyu Ndiye kocha mpya aliyetangazwa na Man United.
Klabu ya Manchester United imemtangaza kocha Louis Van Gaal kuwa ndiye Meneja na kocha mpya wa timu kwa msimu ujao,hatua hiyo inakuja wiki kadhaa baada ya klabu hiyo kumtimua David…
Taarifa ya baadhi ya wajumbe baraza kuu CHADEMA kuhusu UKAWA
Ndugu wanahabari, tunapenda mtusaidie kufikisha ujumbe wetu huu kwa umma unaotokana na malalamiko na manung’uniko ya wanachama wenzetu wa CHADEMA kuhusu udhaifu mkubwa wa kiuongozi unaoendelea kwa sasa chini ya…
Hekaheka May 19 2014, Dada mjamzito alietengeneza kadi za kliniki zenye majina ya baba wawili
Kwa hali ya kawaida utajisikiaje ukigundua mpenzi wako ana ujauzito lakini sio wako? kadi ya clinic ina jina lako...... hii ya leo imetokea kwa dada mmoja mkazi wa Dar es…
Kingine alichofanya Drogba ambacho Waturuki hawatomsahau
Mshambuliaji wa Galatasaray Didier Drogba amefanya kitendo ambacho kimezidi kumpa sifa kubwa linapokuja swala la kurudisha kwa jamii. Drogba ambaye jana alitangaza rasmi kuondoka Galatasary baada ya mkataba wake wa miezi 18 kumalizika…
Unaambiwa huyu ndiye nabii wa Tanzania anayeponya ugonjwa wa Dengue kwa Juice.
Baada ya time ya Babu wa Loliondo kuponya kwa kutumia kikombe,sasa ni time ya kiongozi wa dini ambaye anajiita nabii na kutangaza kuwa anatibu ugonjwa wa Dengue kwa kutumia juisi.…
Tumia dakika hizi 17 kusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni Mei 19.
Kama umefanikiwa kupitia vichwa mbalimbali vya habari,Hapa nimekurekodia magazeti yakisomwa na kuchambuliwa kwenye Power Breakfast leo Mei 19 yakisomwa na PJ kwenye Powr Breakfast muda wowote ukipata muda unaweza kusikiliza…
Rais wa nchi alietokwa machozi akilihutubia taifa kwenye TV.
Huwa matukio kama haya au hisia kama hizi sio rahisi kuonekana waziwazi kwa kiongozi wa nchi pale anapohutubia au kuzungumza na Taifa kwa njia ya TV. Imetokea kwa rais wa…
Za Diamond na Ommy Dimpoz London. (Pichaz na video)
Diamond alikwenda Uingereza kwa ajili ya kufanya video ya wimbo wake na Iyanya ambayo imegharimu zaidi ya dola za kimarekani elfu 20 (zaidi ya milioni 30 za Tanzania) kutokana na…
Sekunde 20 za Mzee Majuto kwenye movie mpya ya ‘Mama Ntilie’
Kutana na Mzee Majuto ambae ni mchekeshaji wa longtime Tanzania, hizi ni sekunde 20 za sehemu aliyoigiza kwenye movie ya 'Mama Ntilie' ya Irene Paul ambayo sasa hivi naambiwa iko…