Nikikupa nafasi ya kutoa max,utatoa asilimia ngapi kwa msanii huyu chipukizi Danny Pess.
Kuna baadhi ya video za wasanii chipukizi ukizitazama unaweza kupata nafasi ya kufikiria makubwa kwa msanii husika,huyu anaitwa Danny Pess hapa kamshirikisha Mr Blue wimbo unaitwa Naogopa. Bonyeza play kutazama.
Serikali ya Tanzania imethibitisha mradi wa Treni za juu kama hizi kujengwa Dar hivi karibuni.
Umekua ni usafiri mwingine mzuri na wenye starehe yake kama ukipata nafasi ya kuutumia kwenye nchi zilizoendelea kama Marekani, Uingereza Dubai na kwengineko ambako kuna watu wengine wanategemea sana kuutumia…
Picha 10 za Miss Talent Dar City Centre wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari.
Mashindano ya vipaji vya warembo ambao wanashiriki kwenye mashindano ya urembo Miss Dar City Centre ambayo yatafanyika kwenye ukumbi wa New Club Maisha,miongoni wa burudani zilizotajwa ni pamoja na ile…
Video: Tazama magoli 10 bora ya msimu wa Bundesliga – Lewandowski vs Mandzukic
Ligi kuu ya Ujerumani imemalizika kwa klabu ya Bayern Munich kutwaa ubingwa wa Bundesliga, mshambuliaji Robert Lewandoski wa Borussia Dortmund nae amekuwa mfungaji bora wa ligi, na pia imetoka video…
U Heard ya leo inahusu stori za uhusiano wa kimapenzi wa T.I.D na Recho
List ya mastaa walio kwenye uhusiano wa kimapenzi na mastaa wenzao inawezekana ikaongezeka baada ya kufahamika hili la Tid na Recho kuwa wapenzi maana tumezoea kuwasikia Diamond Platnumz na Wema…
Taarifa kuhusu kutangazwa kwa kocha mpya wa Man Utd
Wiki kadhaa baada ya kumtimua kocha David Moyes klabu ya Manchester united wanakaribia kumtangaza kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi Louis van Gaal kuwa meneja mpya wa timu hiyo.…
Muendelezo wa ile Hekaheka ya mtoto aliyefariki kwenye mazingira ya kutatanisha ni huu.
Jana kwenye Hekaheka alisikika mama mzazi wa mtoto ambaye alifariki lakini baada ya kwenda kwa Mganga ameambiwa kuwa mtoto wake hajafariki kama anavyofikiria na kingine kwa maelezo yake aliwekewa kitambaa…
Video: Siku 29 kabla ya kombe la dunia hawa jamaa wamechukua headlines na hizi silaha
Zikiwa zimebaki siku 29 kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la dunia mwaka 2014 kuanza, usalama bado umeonekana kuwa tatizo nchini humo manake mapema wiki hii kwenye mitandao tofauti…
Kama ulimisi alichosema Michael Wambura kuhusu wachezaji wasaliti Simba.
Mgombea urais wa klabu ya Simba Michael Wambura amesema kuwa wachezaji wengi wa klabu hiyo ni wachezaji wa watu binafsi na siyo wa klabu kutokana na mfumo mbovu wa usajili…
Alichosema Mbwana Samata kuhusu wachezaji wa kigeni ligi kuu TZ
Kutokana na uzoefu wake Mbwana Samatta ameunga mkono klabu za Ligi kuu bara ziruhusiwe kusajili wachezaji watano kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kuleta ushindani na mafanikio ya timu.…