Picha 7 za aina ya taa zinazotumika kuongozea magari Kinshasa Congo DRC
Kutoka Jamuhuri ya kidemokrasi ya Kongo, mji wa Kinshasa una wakazi zaidi ya milioni kumi sawa na mara mbili ya Dar es salaam ambapo ili kuondoa msongamano na kuepusha zile…
Msikilize Mbwiga wa Mei 12.
Udambwi dambwi wa Mbwiga wa Mbwiguke ndiyo unaohitimisha Sports Extra ya Clouds Fm,leo Mbwiga kazungumzia timu ya Taifa katika mechi ya kipindi cha nyuma ambayo imewahi kucheza na Misri mwaka…
Tazama jinsi Jay Z akipigwa na shemeji yake (Solange) wakiwa kwenye lift na Beyonce pembeni
Ni video kamili ikionyesha kilichotokea kwenye lifti ambapo rapper Jay Z anaonekana akipigwa na shemeji yake ambae ni Solange kwa muda usiopungua dakika 2 kwa kutumia pochi na mateke na…
Breaking kuhusu mkataba wa Mbuyu Twite Yanga
Wiki kadhaa baada ya kuondokewa na wachezaji wake wawili Frank Domayo na Didier Kavumbagu, klabu ya Yanga imeamua rasmi kujidhatiti kwa ajili ya msimu ujao. Taarifa kutoka Yanga zilizothibitishwa na…
Alichoandika Michael Carrick baada ya kutemwa timu ya taifa England
Muda mchache baada ya kocha Roy Hodgson kutangaza kikosi cha timu ya taifa ya England kitakachokwenda Brazil mchezaji wa klabu ya Manchester United aliyeachwa Michael Carrick ameandika ya moyoni kwenye…
Dakika 4 za single mpya ya Gosby ft. Ommy Dimpoz ‘naogopa’
Baada ya kuonyesha uwezo wake kwenye single kadhaa zilizopita ikiwemo ya 'Monifere' ft. Vanessa Mdee sasa uwezo wake mwingine anauonyesha kwenye hii 'naogopa' ft. Ommy Dimpoz
Mechi ya timu ya akina Samata dhidi ya wapinzani wao yasababisha vifo vya mashabiki 16
Maafa makubwa yametokea kwenye soka nchini DR Congo. Angalau watu wapatao 15 ambao ni washabiki wa soka wamepoteza maisha kwenye mchezo wa TP Mazembe dhidi ya ASV Club. Kwa mujibu…
Kauli ya Ommy Dimpoz baada ya tuhuma za kuvaa viatu vya kike.
Hii stori ilianza baada ya kutoka kwa jarida la Vibe Magazine ambalo lilitoka wiki iliyopita,mbele ya jarida hilo kulikua na picha ya Ommy Dimpoz akiwa kakaa huku miguu akionekana na…
Hawa ndio wachezaji walioitwa timu ya taifa ya England kombe la dunia
Hatimaye kocha wa timu ya taifa ya England Roy Hodgson ametangaza kikosi cha timu hiyo kitakachoenda Brazil hivi punde. Kikosi cha England kilichotangazwa kina majina ya wachezaji wafuatao: Goalkeepers: Joe…
Maneno ya Stamina baada ya kushindwa kutokea kwenye show ya Mabeste.
Wiki chache zilizopita kulikua na show iliyoandaliwa na Mabeste ambayo aliifanya Club Bilicanas miongoni mwa wasanii waliotajwa kuwepo kwenye show hiyo ni pamoja na Stamina lakini kutokana na sababu ambazo…