Yule tajiri Mmarekani aliesema hataki watu Weusi kapewa hii adhabu
NBA imesema kutokana na uchunguzi kukamilika kuhusu mmiliki wa timu ya Los Angeles Clippers Donald Sterling dhidi ya maneno ya kibaguzi kwa watu weusi, imempa kifungo cha maisha mmiliki huyo…
Wale wa Skelewu…hii ni remix yake kutoka kwa Davido ft Major Lazer & Wiwek
Skelewu remix imetoka na video ambayo imetengenezwa na mega mix ya vipande vya video za mashabiki wa Davido kutoka nchi tofauti na kutengeneza video moja. Dakika 3 na sekunde 41…
Lile Jarida la zile picha za Rihanna ndio limetoka kinamna hii.
Baada ya picha za RiRi kusambaa akionekana mtupu kabisa kwa ajili ya kuonekana kwenye jarida hili la Ufaransa liitwalo Lui niliona comments nyingi zikiwemo za mashabiki zake ambao walitangaza kujiondoa…
Video ya basi la Hood lilivyokuwa linateketea katikati ya safari.
Habari za basi la Hood kuteketea kwa moto likitokea Mbeya njiani kuelekea Arusha zimetoka na kusambaa sana April 29 2014 jioni na hakuna mtu aliyepoteza maisha lakini watu wanaofikia 40…
Unaambiwa katika matukio yote ya Akon hili la kumtupa mtu hawezi kulisahau
Akon ni miongoni mwa mastaa wa muziki ambao waliteka sana chati za muziki duniani kati ya miaka ya 2003 mpaka 2008 kwa single kama lonely, right now, smack that, beautiful…
Dakika 4 za video mpya ya Sauti Sol inayozidi kupokea comments tu @SautiSol
Ni kundi la Sauti Sol kutoka Kenya ambao wametudondoshea single mpya inaitwa 'nishike' April 29 2014 ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa Mastaa wachache wa muziki Kenya kufanya video za…
Full Time ya Bayern vs Real Madrid
Ni game nyingine ambayo imetazamwa sana time hii, ni game ambayo imepata utazamaji mkubwa sana kutokana na hatua ambayo timu hizi zilikua zimefikia kwenye Champions League na vilevile hasa kutokana…
Msikilize Mbwiga wa April 29.
Mtekenyo wa Mbwiga wa Mbwiguke leo April 29 umezungumzia miongoni mwa vitu vilivyokua vikifanywa na wachezaji mbalimbali wanapopata safari za nje ya mkoa na kitu walichokuwa wakikifanya hasa mkoa wanaoenda…
Basi la Hood lateketea kwa moto likiwa safarini, abiria 55 wanusurika
Imeripotiwa watu 55 waliokuwa ndani ya basi la kampuni ya Hood wakisafiri kutoka Mbeya kwenda Arusha wamenusurika kufa baada ya basi hilo kushika moto na kuteketea kabisa katika kijiji cha…
@FlavianaMatata kwenye video ya dakika mbili.
Flaviana Matata ni mwanamitindo wa Kitanzania ambae ametokea kwenye kazi za mataifa mbalimbali kama Ufaransa, U.K, Hispania na Marekani anakoishi sasa huko New York. Kwenye hii video Flavvy anatumia dakika…