Exclusive Sikiliza hapa kipande cha wimbo mpya wa Diva.
Mashaalah ni jina la wimbo mpya wa Diva ambao anategemea kuuachia rasmi Ijumaa kupitia XXL,Studio iliyohusika na utayarishaji wa wimbo huu ni Sharobaro Records na ndani ya wimbo huu kashirikishwa…
Breaking News: Azam FC wakamilisha usajili wa mshambuliaji huyu wa Yanga
Klabu ya Azam FC imeanza rasmi maandalizi ya kutetea ubingwa wao msimu ujao na michuano ya kimataifa kwa kukamilisha usajili wa mchezaji wa kimataifa wa Burundi aliyekuwa anakipiga kwenye klabu…
Haya ndiyo matokeo ya operesheni iliyofanywa na Manispaa ya Temeke.
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambayo ina ukubwa wa Kilometa za mraba 656 ambayo ina jumla ya watu 1,368,881 ambayo ni kwa mujibu wa taarifa ya sensa ya mwaka 2012…
Baada ya taarifa ya kumteka Msichana,Hiki ndicho alichokisema Ney wa Mitego.
April 14 zilizotoka taarifa juu ya kutekwa kwa msichana mmoja aitwae Neema ambaye ni miongoni mwa watu wanaosemekana walimtukana Ney na Mpenzi wake kupitia akaunti zao za Instagram,Neema alipatikana na…
Huu ni muendelezo wa Hekaheka iliyoanza jana April 28.
Kutoka Idara ya Hekaheka Jana April 28 tulisikiliza upande mmoja kuhusu yule mnyamwezi aliyeibiwa vitu vyake na kisha ikasemekana alienda kwa Mganga ili mtu aliyemuibia afe,miongoni mwa watu aliowadhania kumuibia…
Trafiki wa kike Kenya aliyeingia kwenye headlines kutokana na vazi lake.
Ripota wa TZA kutoka Kenya Julius Kipkoech ameamplify taarifa kutoka Kiambu Kenya ambapo hisia tofauti zimetolewa kuhusiana na picha ya askari wa kike wa usalama barabarani iliyofanya mabosi wake kumkemea.…
Watu wangu wa Kigoma,ipokeeni hii toka NMB bank.
Hii kwa watu wangu wa nguvu wa Kigoma Benki ya NMB imezindua rasmi tawi lake jipya mjini Kigoma ambapo Uzinduzi wa tawi hilo lililopo jengo la Bima barabara ya Lumumba…
Taarifa ya Kamanda Kova juu ya watoto waliofariki wakiwa wanaogelea ndani ya Swimming Pool.
April 27 kulitokea vifo vya watoto 3 ambao walikua na birthday party nyumbani lakini baada ya kukamilika kwa taratibu za party ya nyumbani waliamua kuimalizia party hiyo hotel ya Landmark,walipofika…
Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni hapa leo April 29.
Utaratibu wa millardayo.com ni ule ule kutopitwa na kitu chochote ambacho labda kwa wakati kinafanyika hukuwa karibu na radio au ulikua na shughuli nyingine,hapa nimekurekodia Magazeti yakisomwa na kuchambuliwa na…
Magazetini leo April 29 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.