Magazetini leo April 29 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Cheki video jinsi mama alivyompa kichapo mwanae baada ya ku-post picha chafu facebook
Binti alipost picha yake ambayo imeelezwa kuwa ni ya nusu uchi kwenye page yake ya facebook na kama kawaida ya internet ikasambaa ghafla. Mama wa binti huyo baada ya kusikia…
Hiki ni kitu kipya watakachofanya Jay Z na Beyonce kwa pamoja.
Mr and Mrs Carter wamefanya vitu vingi pamoja haswa kwenye ishu ya muziki ambapo wameshafanya collaboration na kupeana support kwenye show mbalimbali. Hivi sasa wote wawili wameridhia kufanya official tour…
Cheki picha 11 za wanamichezo maarufu enzi zao wakiwa watoto.
Wengi kati yao sura zao hazijabadirika sana tangu kipindi chao cha utotoni lakini picha hizi zitakuonyesha kwamba wanamichezo hawa wameanza kucheza michezo yao tangu wakiwa watoto. Kwenye picha hizi kuna…
Zaidi ya milioni 300 zimemtoka Peter wa P Square kununua hili gari jipya (Bentley GT 2014).
Baada ya kumaliza matatizo yao kwenye familia na ndugu zake ambayo bado hayajajulikana kama yalikuwa ni kweli au ni stunt za biashara yao kwenye muziki, Peter amewaonyesha fans wake gari…
Breaking: Kuhusu watu 14 wa kijiji kimoja kufariki kwa mpigo.
Ripoti kutoka Radio One Breaking news ni kwamba watu 14 wa kijiji kimoja akiwemo askari mmoja wa usalama barabarani wamefariki dunia baada ya kugongwa na basi la Summry kwenye wilaya…
Haya ndiyo yaliyojiri kwa wafanyakazi wa mradi wa mabasi yaendayo kasi.
Mradi wa mabasi yaendayo kasi upo chini ya kampuni ya Starbag ambayo zaidi ya kuajiri wafanyakazi wa kigeni pia imeajiri wafanyakazi wa hapa hapa Tanzania. Wafanyakazi kutoka Tanzania wametoa malalamiko…
Msikilize Mbwiga wa April 28.
Huu hapa mtekenyo wa Mbwiga wa Mbwiguke ambao hauzidi dakika 3 na hapa tunaitumia nafasi hii kusikiliza taarifa za kimichezo za mechi kubwa zilizowahi kuwa na vioja na kuchukua headline,…
Sentensi 7 mpya alizoziongea Jaji Warioba zinazohusu katiba mpya
Aliyekua Mwenyekiti wa tume ya taifa ya kukusanya maoni ya katiba Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba leo kupitia kipindi cha dakika 45 cha ITV amezungumza mambo mengi sana ya msingi…
Sikiliza You heard ya leo hapa inayohusu ndoa ya Bob Junior.
Hii iliwahi kusikika lakini haikuwahi kuthibitika uhalali wa taarifa hizi kutoka kwa mhusika mwenyewe ambaye ni Bob Junior,leo kupitia You heard Soud Brown ana amplify taarifa hizi. 88.1 Clouds Fm…