Kuwa wa kwanza kuitazama video mpya ya Shilole – Chuna Buzi.
Mbali na kuwa ni video mpya lakini ni video ambayo inaingia kwenye headline hasa hapa zilipofanywa video mbili ambazo zote zimetayarishwa na Director mmoja,Chuna Buzi ndiyo jina la wimbo huu…
Kama ulimis El Clasico jana usiku – nimekuletea video ya mabao yote, hii hapa
Real Madrid jana usiku waliadhibiwa mabao 4-3 na FC Barcelona katika El Clasico ya pili msimu. Lionel Messi alifunga hat trick, na Iniesta alifunga lingine upande wa Barca, Cristiano Ronaldo…
Dakika 18 za kusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo March 24.
Hii ni fursa ambayo unaipata hapa millardayo.com inapotokea unakua mbali na radio hua nakurekodia na kukuwekea hapa kila kitu kilichosomwa kwenye magazeti ya leo kupitia redio. 88.0 Clouds Fm inasikika…
Magazeti ya leo Jumatatu March 24 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Matokeo ya Real Madrid vs Barcelona march 23 2014
Kazi nyingine inayofanywa na millardayo.com ni kukupa info kuhusu matokeo ya mechi mbalimbali za soka duniani ambapo post hii ni maalum kwa ajili ya Real Madrid vs Barcelona.
Simba v/s Coastal Union,Azam v/s Jkt Oljoro matokeo yake yapo hapa.
Mechi kati ya Simba na Azam imekamilika kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam ambayo imekamilika kwa ushindi wa Coastal Union walioshinda 1-0 dhidi ya timu ya Simba. Simba…
Vipande vya video kutoka kwa @ommydimpoz aki-shoot video na akirekodi wimbo na @VICTORIA_KIMANI na @diamondplatnumz
Ommy Dimpoz anaendelea kutoa picha na vipande vya video alipokuwa London aki-shoot video na director Moe Mussa. Kwenye hii video unaweza kuona camera walizokuwa wanazitumia ku-shoot video hii, pia video…
Mauaji yafanyika kanisani huko Mombasa.
Leo hii jumapili tarehe 23/3 watu kadhaa ambao wanasadikika kuwa ni magaidi wamevamia kanisa moja linalojulikana kwa jina la Joy Jesus Church huko Mombasa na kuanza kupiga risasi kanisani hapo.…
Kurasa za mwanzo na mwisho kwenye magazeti ya leo tarehe 23/3/2014
Hivi ndivyo zinavyoonekana kurasa za mwanzo na mwisho kwenye magazeti yaliyotoka leo Jumapili tarehe 23/3/2014
Unaambiwa Chris Brown hali wala halali huko jela.
Chris Brown baada ya kuvunja sheria za rehab alifukuzwa na baadae kukamatwa, hivi sasa amewekwa jela kwa muda wa mwezi mmoja. Mtandao mmoja wa huko Marekani umeripoti kwamba Chris Brown…