Hii ni Taarifa njema kwa ajili yenu wakazi wa Sinza toka Nmb.
NMB ikiwa ni benki ya chaguo la watanzania wengi jana Machi 19 ilifungua rasmi tawi lake jipya maeneo ya Sinza Mori mkabala na kituo cha kuwekea mafuta cha Big Born…
Sikiliza Hekaheka ya leo March 20.
Hekaheka ya leo imetokea Dar es salaam maeneo ya Sinza na inamhusisha msichana anayesadikika kuwa ni miongoni mwa wasichana wanaojiuza kumuibia pesa mtu anayesemakana alikua ni moja kati ya wateja…
Young Killer katoa single mpya inaitwa ‘my power’ isikilize hapa
Huu ni wimbo mpya wa Young Killer ambao ameutoa leo rasmi leo March 20 unaitwa My Power ikiwa ni single yake ya nne baada ya Dear Gambe, Jana na leo,…
Huu ni wimbo mpya kutoka kwa Lameck Ditto – Tuongeze Bidii
Lameck Ditto kutoka Tanzania House of Talent baada ya kimya kirefu amerudi tena na wimbo mpya. Tumia muda huu kuusikiliza hapa.
Hukusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo?yapo hapa.
Inawezekana hukua karibu na redio wakati Magazeti haya yakichambuliwa Redioni lakini hupaswi kujilaumu na kupata taabu kwa sababu mtu wako wa nguvu nipo kwa ajili yako,hapa nimekurekodia yote na unaweza…
Magazeti ya leo March 20 2014 na stori kubwa za Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Matokeo ya Manchester United vs Olympiakos, na ya Dortmund March 19
Kama unapenda stori kama hizi zisikupite iwe usiku au mchana, nakualika kuungana na mimi kwenye twitter, instagram na facebook kwa jina hilohilo la @millardayo
Ni siku ya 12, ndege ya Malaysia iliyopotea haijaonekana.
Ni habari ambayo inasisimua na kusikitisha kila ninapojaribu kukumbuka na kugundua ni kwenye maisha halisi imetokea huku ikiwa imeondoka na abiria 239 ndani yake. Unaweza kujaribu kufikiria uone jinsi hili…
Habari 10 za Amplifaya March 19 2014
Amplifaya ni show ambayo inasikika kupitia Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku ikihusika kutoa stori zote kumi kubwa za siku za siasa, muziki, michezo, movies, maisha na…
Msikilize Mbwiga leo March 19.
Huu ni mtekenyo wa Mbwiga leo March 19 kama kawaida anachozungumzia ni stori za kimichezo ambazo huwa ni zile mechi zilizochezwa kipindi cha nyuma,na leo katoa historia ya Kagera Rangers.…