Ronaldo amejibuje alipoulizwa kama atahudhuria Ballon d’Or? na akishindwa je?
October 2013 Rais wa FIFA Sepp Blatter aliomba radhi na kusema maneno aliyoyasema hayakua na lengo la kumshushia heshima au kumdharaulisha mchezaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo. Blatter kwenye mazungumzo…
Kauli ya leo ya Chadema kuhusu Mwenyekiti wake kutekwa, mpya ya Polisi kuwashika kadhaa ipo pia
Ni headlines ambazo zimemiliki vyombo vya habari toka jana January 7 2014 kuhusu Mwenyekiti huyu wa Chadema wilayani Temeke Dar es salaam Joseph Yona kutekwa, kupigwa na kutupwa saa tisa…
Ni NMB tena, imeibuka na ushindi ktk kuwasilisha taarifa ya fedha
Maafisa wa benki ya NMB (toka kushoto) Evarist Webby, Jonathan Eliamlisi, Deogratias Usangira na Israel Kingu wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kupokea tuzo hii ya ushindi wa kwanza…
Huyu dio mchezaji wa zamani wa Bayern Munich aliejitangaza kuwa shoga.
Nyota wa zamani wa Ujerumani Thomas Hitzlsperger aliyeanzia soka lake kwenye klabu ya Bayern Munich amejitangaza kuwa shoga. Aliwahi kucheza kwenye ligi ya England kwa muda wa miaka mitano akicheza…
FIFA yahamisha muda wa kombe la dunia 2022 huko QATAR?
Baada ya utafiti wa muda mrefu na majadiliano yaliyochukua zaidi ya mwaka mmoja shirikisho la soka ulimwenguni limefikia uamuzi wa kutofanyika kwa mashindano ya kombe la dunia kwa mwaka 2022…
Kama umepotelewa na mtoto hii Heka heka ya leo inakuhusu
Hii ni heka heka iliyotokea hapa 88.5 Dar juu ya mtoto aliyepotea na kuokotwa na msamalia mwema,mtoto huyu kwa maelezo yake anatokea Tanga 96.o japo anadai alikuja na baba yake…
Yote aliyoyasema Tundu Lissu nje ya Mahakama baada ya Zitto Kabwe kushinda
Jana Januari 7 2014 ni siku ambayo Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam ilitoa uamuzi juu ya Kesi iliyokuwa ikiwahusu Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Chadema ambapo…
#Exclusive: Zitto Kabwe baada ya ushindi anasema hizi ni salamu anapenda Wananchi wazifahamu
Dakika kadhaa baada ya kushinda kesi dhidi ya Chadema Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alitoa nafasi kwa millardayo.com kuwa chombo pekee cha habari kumfanyia mahojiano. (Exclusive interview) Yafuatayo ni…
Picha za utengenezaji wa video ya “Nje ya box” Joh Makini alivyotupia sasa
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezwaji wa video ya 'nje ya box' iliyofanywa na Nikki wa II, Joh Makini na G Nako ambapo video hii inafanyika Arusha (87.9 Clouds…
Sikiliza hapa Magazeti ya leo yakisomwa Redioni
Hizi ni dakika 14 za Kuperuzi na Kudadisi leo Jan 8 kusikiliza kilichoandikwa kwenye kurasa mbalimbali za Magazeti ya leo,Kuna taarifa za Kuhusu Zitto Kabwe alivyoshinda kesi na vingine vingi…