Makanisa mangapi yamesajiliwa Kenya? maombi ya kusajili kwa siku je?
Standard media Group Kenya imeripoti kuhusu Uhuru wa kuabudu nchini Kenya na jinsi ilivyorahisi kwa yeyote kuanzisha kanisa. Wanasema uhuru wa kuabudu umesababisha kuenea kwa madhehebu ya kidini nchini Kenya…
Ulimis Hekaheka ya Feb 03 namna dada alivyoibiwa pesa zake,sikiliza hapa..
Mitaani kuna mazingira mengi sana ya uibiwaji pesa mazingira mengine yakihusisha pia imani za kishirikina huyu ni moja kati ya wadada waliokutwa na kisanga hiko cha kupoteza hela kwenye mazingira…
Sikiliza magazeti ya leo Feb 04 yakisomwa redioni.
Wajibu wangu kwako ni kukuletea hiki kilichochambuliwa kupitia magazeti ya leo February 04 ili kusikiliza kilichoandikwa,unakumbuka yule muuaji wa Tarime?inasemekana si mmoja wapo kundi sikiliza kwa undani kupitia 87.8 Clouds…
Magazetini leo February 4 2014 na stori za Udaku, Michezo na Hardnewz
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Xabi Alonso azungumzia kadi nyekundu ya Ronaldo na kusema…..
Xabi Alonso anahisi kwamba Cristiano Ronaldo hakuwa sahihi na alichangia katika kujisababishia kadi nyekundu katika mchezo wa matokeo ya 1-1 baina ya Real Madrid vs Athletic Bilbao mechi iliyochezwa jana usiku. Mwanasoka huyo…
Hii iwafikie wanaomfatilia Diamond Platnumz
millardayo.com inazotaarifa za chinichini kwamba single ya 'number one rmx' ya Diamond Platnumz ft Davido wa Nigeria ipo kwenye mstari wa kuingiza mkwanja kupitia mauzo ya mlio kwenye simu,…
Unalitaka goli la Chelsea vs Man City, pass success na mengine? yote yako hapa
Kuna video mbili nimeweka hapa mtu wangu lakini pia hapa unayo nafasi ya kutazama takwimu kama za fouls, yellow cards, offsides, pass success na mengine. Kingine ambacho millardayo.com inakupatia kwa…
Matokeo ya Man city vs Chelsea Feb 3 2014
Najua ni mechi ambayo imetazamwa na wengi sana hasa kutokana na rekodi ya timu hizi mbili ambapo hapa chini kwenye hii post unaweza kutazama msimamo wa ligi pia.
Umesikia msanii anayesemekana kutoka na Shilole hivi karibuni?sikiliza kupitia You heard ya leo.
Hizi ni stori zilizopo mtaani zinazomhusisha mdada anayeendelea kukomaa na Jiji,kuna taarifa kuna msanii mchanga kwa sasa anatoka nae ambaye mara kadhaa wameonekana wakiwa wote,unataka kumfahamu?sikiliza kupitia 104.4 Clouds Fm…
Baada ya mechi ya Yanga na Mbeya City,hiki ndicho kilichomtokea mmoja kati ya shabiki wa timu hizo.
Unaambiwa shabiki mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kukutwa na tiketi bandia kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Mbeya City iliyochezwa Februari 2…