Umekisikia alichokizungumza Moyes Baada ya kumsajili Mata Man. United?hiki hapa.
Baada ya kukamilika kwa usajili wa Juan Mata kocha wa Manchester United David Moyes amesema kwamba huo ni mwanzo mengi mazuri yanakuja na ameweka bayana mpango wa kusajili nyota wengine…
Pichaz za mastar wa Isidingo waliyohudhuria ibada ya Mazishi ya Lettie Matabane.
Hizi ni pichaz zinzowaonyesha Mastar kadhaa wa Isidingo jinsi walivyohudhuria ibada ya Mazishi ya Lesego Motsepe maarufu kama Letty Matabane ambaye ni staa wa tamthilia ya Isidingo inayoonyeshwa kupitia kituo…
“Messi hatojiunga na PSG au klabu yoyote hivi karibuni.” Asema Baba yake
Lionel Messi hatoandoka Barcelona kujiunga na Paris Saint-Germain au klabu nyingine yoyote katika kipindi cha hivi karibuni, baba na wakala wa mwanasoka huyo bora wa dunia kwa mara nne mfululizo amesema. Matajiri wa Paris…
Undani juu ya tukio la kujinyoga kwa mtoto wa miaka 8 Dar es salaam huu hapa.
Jumapili January 19 kulitokea kifo cha kutatanisha cha mtoto aliyekua akisoma shule ya msingi Yombo Vituka darasa la pili ambaye alikua anaingia darasa la tatu mwaka huu Rahma Abeid Karim…
“Nilimwambia Ferguson asiwe anakwenda Old Trafford kuangalia mechi.” – Asema kocha wa Man United
Kocha msaidizi wa zamani wa klabu ya Manchester United na kocha wa sasa wa Fulham Rene Meulensteen amefunguka kwamba alimwambia Sir Alex Ferguson asiwe anaenda kuangalia mechi za Manchester United…
Hizi ni dakika 14 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti ya leo Jan 27.
Zitumie dakika hizi 14 kusikiliza magazeti yakichambuliwa redion ndani ya Power Breakfast kwenye kisehemu cha Kuperuzi na Kudadisi leo Jan 27,Sikiliza kupitia 89.8 Clouds Fm Singida. Bonyeza play kusikiliza.
Yaliyojili kwenye utoaji wa tuzo za Grammy huko Los Angeles
Tuzo za Grammy kwa mara ya 56 zimefanyika huko Los Angeles ambapo Jay Z ameshinda tuzo kwenye kipengele cha Best/Rap Song Collaboration na wimbo wake Holy Grail. Kwenye speech yake…
Kuhusu kutekwa kwa Madereva Tabora,hiki ndicho alichokisema Rpc wa Tabora na Waziri wa Mambo ya Ndani.
Jana January 26 kupitia msamalia mwema aliyekua akisafiri toka Shinyanga kuelekea Morogoro aliwasiliana na millardayo.com na kutoa taarifa kuhusu kuziba njia kwa madereva wa Malori eneo la Ziba wilaya ya…
Magazeti ya leo January 27 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…