Hiki ndicho walichokisema Yanga baada ya TFF kumsimamisha Okwi.
Uongozi wa klabu ya Yanga umeweka hadharani ukweli kuhusiana na usajili wa mshambuliaji wake wa kimataifa kutoka nchini Uganda Emmanuel Okwi ambaye kamati ya maadili na hadhi za wachezaji kutoka…
Kwenye zile video za Wanigeria 2014, hii nayo imo..
Video za namna hii ambazo Warembo ndio wanatumika sana kuiuzisha ndio zimekua na maoni mengi tena maoni tofauti huku wengi wakionekana kushtukia mchezo wa kuwatumia warembo kwenye engo za ziada…
Na hizi ndio picha za Diamond akiwa na msafara wake kuelekea Nairobi.
Diamond amesafiri pamoja na bodyguard,Dj,mpiga picha,dancers na yeye mwenyewe kuelekea jijini Nairobi. Safari hiyo ni kwa ajili ya show kwenye private party iliyondaliwa huko Nairobi japokuwa Diamond hajaiweka wazi…
Pichaz za waziri Magufuli akisimamia ujenzi wa daraja la Dumila lililosombwa na maji.
Unaambiwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli amepiga kambi mkoani Morogoro ili kuusimamia ujenzi wa Daraja la Dumila ambalo ni kiunganishi cha barabara ya Dodoma – Morogoro ambalo…
Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo January 24
Hizi ni Dakika 17 zitumie kusikiliza uchambuzi wa Magazeti ya leo January 24 yakichambuliwa na PJ kutoka kwenye Power Breakfast,Katibu wa Itifaki na Uenezi wa Ccm Nape Nnauye katoa…
Msikilize Mbwiga wa January 23
kawaida ya millardayo.com ni kukuwekea vitu ambavyo pengine hukupata muda wa kuvifanya kama kusikiliza Radio na kusoma magazeti,tumia muda huu Kuikamilisha siku yako kwa kumsikiliza Mbwiga wa Mbwiguke,hii ni dakika…
Mambo 7 aliyoyasema Frederick Sumaye kuhusu Serikali tatu na katiba mpya.
Mh. Frederick Sumaye akihojiwa na Maestro wa Sports Extra ya Clouds FM picha ikiwa imepigwa na http://michuzijr.blogspot.com ambapo kwenye Exclusive interview na millardayo.com Frederick Sumaye ndio ameyatoa yake ya…
Magazeti ya leo January 24 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Mabibi na mabwana, hii ndio video mpya ya ‘nje ya box’ Nikki wa II ft Joh Makini & G Nako
Audio yake ilitoka February 14 2013 na ikamiliki headlines mpaka kuingia kwenye nyimbo 10 kubwa zilizokaa sana kwenye top20 ya Clouds FM, ‘nje ya box’ inaweza kuwa single pekee…
Hawa ndio wasanii watatu waliorekodi wimbo wa kombe la dunia 2014, Wanawake wawili.
Ebwana shirikisho la soka duniani (FIFA) kwa kushirikiana na Sony Music wametangaza kwamba ‘We Are One’ ndio jina la wimbo wa kombe la dunia 2014 litakalochezwa Brazil ambapo mastaa watatu…