Msikilize Mbwiga leo Jan 22
Tumia dakika hizi chache kumsikiliza Mbwiga wa Mbwiguke aki-amplify taarifa za kimichezo,msikilize hapa kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa pia waeza msikiliza kupitia 88.4 Clouds Fm Mtwara. Bonyeza play kusikiliza.
Picha 7 za kitakachoonekana ktk video mpya ya Weusi ‘nje ya box’ magari na yule manka wa kichaga sasa
Unaambiwa Ijumaa hii ya January 24 2014 ndio video hii itawafikia mamilioni ya Watanzania manake ndio siku ya kuachiwa kwake ikiwa imefanywa na mkali kutoka 87.9 Arusha >> Nisher. Mwezi…
Jinsi wizara ya Fedha ilivyowapokea Mwigulu Nchemba na Malima leo January 22 2014.
Mawaziri walioteuliwa kwenye mabadiliko ya baraza la mawaziri waliripoti ofisini January 22 2014 ambapo hii post inawahusu naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba alivyopokelewa na Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha…
Picha za ajali iliyoua wanafunzi watano Mtwara leo Jan 22 pamoja na taarifa kamili.
Wanafunzi watano wa shule ya sekondari Mustafa Sabodo iliyopo nje kidogo ya mji wa Mtwara wamefariki Dunia na wengine 47 kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari wakati wakikimbia mchakamchaka mapema…
Daraja la Dumila lasombwa na maji baadhi ya majengo ya Shule yafunikwa.
Habari zilizosambaa tangu asubuhi kuwa Daraja la Dumila lililopo mkoani Morogoro ambalo ni barabara ya Dodoma - Morogoro limekatika na magari hayapiti baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia…
Hii ni kauli ya Nay wa mitego baada ya mshindi wa BSS 2013 kuonyesha mali alizonunua
Jana jioni kupitia millardayo.com mshindi wa shindano la vipaji la BSS 2013 Emmanuel Msuya aliziachia picha za nyumba aliyonunua, gari pamoja na studio... vyote akiwa kavifanya kutokana na zile milioni…
Bob Junior atolea maelezo juu ya picha iliyosambaa kwenye Social Network kupitia You heard ya leo.
Soud Brown leo ame-amplify taarifa zinazomhusu Bob Junior kutokana na picha iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ifahamu picha hiyo na alichokizungumza Bob Junior kwa kusikiliza kupitia 87.8 Clouds Fm Mbeya.…
Jinsi alivyopokelewa Waziri wa Mambo ya Ndani kwenye siku yake ya kwanza ofisini
Wizara ya Mambo ya Ndani rasmi imempokea Mheshimiwa Waziri Mathias Chikawe kama Waziri wa Mambo ya ndani ambapo baada ya kukamilika kwa utambulisho alipata nafasi ya kuzungumza na kuyasema yafuatayo…
Huyu ndio Mahabusu wa Mwanza alieamua kujipaka choo namna hii ili aweze kutoroka leo.
Mwandishi Albert G Sengo wa http://gsengo.blogspot.com ameandika >>> Mahabusu mmoja aliyekuwa mahabusu ya mahakama ya wilaya ya Nyamagana na Mahakama ya Mwanzo iliyopo eneo la jirani na Mamlaka ya maji…
Baada ya Barnaba, Young D aonyesha nyumba aliyonunua huko Kimara Suka.
Wanamuziki wa kizazi kipya wanaendelea kufanya mambo mazuri kutokana na kipato wanachopata kwenye muziki. Msanii David Geez maarufu kama Young D ame-share picha za nyumba aliyonunua huko Kimara Suka. David…