Wanamgambo 30 wa Al-Shabaab wauwawa
Taarifa kutoka 254 zinasema Jeshi la Kenya linalopambana na kundi la wanamgambo la al-Shabaab linasema mpaka sasa wapiganaji 30 wa kundi hilo wameuawa Kusini Magharibi mwa Somalia,Msemaji wa jeshi hilo…
Wema Sepetu na Diamond wamerudi tena??? hii video kaipost Wema leo
Wema Sepetu amepost hii video kwenye page yake ya Instagram na kuandika, "In da middle of his writing session...jus had to distrub him a little". Bonyeza play uione video yenyewe…
Ya moyoni mwa Naibu spika Job Ndugai
Wengi tumeanza kumfahamu kupitia nafasi yake aliyonayo kwenye bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ila amekubali kukaa na millardayo.com na kuongelea upande wake wa pili,tumezoea kumsikia tu bungeni akiwa…
Heka heka ya leo hii hapa
Huu ni muendelezo wa Heka heka ya yule dada aliyekuwa ameumia mguu kisha ndugu zake aliokuwa akiishi nao kumwacha bila kumpleka hospital,kwa sasa anaendelea vizuri na kazungumza pia na Idara…
Ni time nyingine ya Vodacom
Tuipokee na hii kutoka mtandao uleule ambao una sifa ya kurahisisha maisha ya Watanzania.
Kutana na mtoto mwenye umri wa miaka 6 analipwa zaidi ya milioni 12 kwa wiki
Mtoto mwenye umri wa miaka 6 ambaye anahusika kwenye series ya comedy ambayo itaanza kuonekana hivi karibuni analipwa dola 8,000 kila wiki akitokea kwenye episode moja. Kutokana na mkataba wake…
Kama ulizisoma za Magazeti na Mtandaoni, Baba Kanumba anasema haya ndio yake kuhusu Lulu.
January 7 2014 ilitoka stori ya mwigizaji Lulu ikihusu alichokiandika kwenye page yake ya instagram ambacho ndio hiki hapa chini, ilikua ni siku ya kuzaliwa ya Mama wa marehemu Steven…
Zile picha za nyumba zimerudi millardayo.com ! za nyumba 3 za leo ndio hizi.
Sio kila kinachoonekana hapa kila mtu ana uwezo wa kukipata au kukijenga ila dhumuni la hii post ambayo sasa imerudi na itakua inakujia mara kwa mara kupitia millardayo.com ni kukupa…
Umeshawahi kuiona printer inaprint mpaka CHOCOLATE? heheh iko hapa
Teknolojia inazidi kukua ambapo sasa hivi kwenye maonyesho ya CES (Consumer Electronic Show) huko Las Vegas Marekani kumeonyeshwa printer mpya yenye uwezo wa ku-print vitu vinavyoweza kuliwa na binadamu. Mfano…
Kwa unaependa muziki wa Jamaica, tazama video zao 10 kali hapa.
Hii Top 10 ya video za Jamaica leo inatoka Trace TV, kituo cha Ufaransa ambacho kinajihusisha na burudani kwa asilimia 100 ambapo kinacheza video za Afrika, Marekani na mataifa mengine…