Mwili wa Waziri wa fedha kuwasili Dar es salaam
Mwili wa aliekua Waziri wa fedha na Uchumi Dr. William Mgimwa unatarajiwa kuwasili Dar es salaam Tanzania kesho Jumamosi Jan 4 2014 ukitokea Afrika Kusini kwenye hospitali aliyokua kalazwa. Mwenyekiti…
Picha 10 za Zitto Kabwe akiingia mahakamani asubuhi hii
Ile kesi iliyohairishwa jana baina ya Zitto Kabwe na Chadema leo inaendelea hapa mahakama kuu kanda ya Dar es salaam,Millardayo.com ipo hapa kwa ajili ya kukupatia kila kinachoendelea kwako mtu…
Habari 10 kubwa za Amplifaya January 2 2014.
Amplifaya ni show ya dakika 120 ambayo ni maalum kuzihesabu zote stori muhimu za siku ambazo zinapangwa kwenye namba kuanzia ya 10 mpaka ya kwanza, ungana na mtu wako wa…
Msikilize Mbwiga wa mbwiguke leo Jan 2
Hizi ni dakika 2 ambazo unapata nafasi ya kumsikiliza Mbwiga wa Mbiwguke akizungumzia mipira mbalimbali ilioyowahji kuchezwa kipindi cha nyuma,leo anazungumzia mechi kati ya Brazil ya Kigoma na Ujiji Rangers…
Alichokisema Zitto Kabwe kuhusiana na Kesi yake Mahakamani, tazama pia jibu alilotoa John Mnyika
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe leo ameingia kwenye headline kuhusiana na kile alichokiwasilisha kwenye mahakama kuu juu ya kupinga kujadiliwa kwenye kikao cha kamati kuu ya Chadema,Kikao ambacho kilikuwa…
Diamond Platnumz na Davido kwenye video moja? sehemu ya mzigo wa Nigeria iko hapa
Alipata pongezi nyingi sana pale alipofanya fasta kupanda ndege na kumfata Davido kwao Nigeria baada ya staa huyu kuja kwenye Fiesta 2013 ambapo alikubali kufanya kolabo... Diamond ndio akamfata na…
Aisee hii ndio list ya Wanawake warembo zaidi Afrika, Mtanzania ni mmoja tu… picha zao wote ziko hapa
Jarida la Glitz Afrika limetoa list yao ya Wanawake 20 wenye mvuto zaidi ndani ya Afrika ambapo kwenye hii list yao ameonekana Mtanzania mmoja tu ambapo millardayo.com imeipata list nzima…
Unatumia facebook?, basi hii inakuhusu kutoka kwa Linex.
Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa facebook na pia ni shabiki wa Linex mkali wa Kimugina. Basi hii post inakuhusu sana na imetoka kwa Linex mwenyewe. "Kwa Jina naitwa Sunday…
Chege katoa video ya ‘chapa nyingine’ na imfanywa na Adam Juma aisee, Diamond, Madee ndani.. iko hapa
Hii ndio inakua video ya kwanza kuifikia AyoTV toka mwaka 2014 uingie.... iliwahi kuripotiwa kwamba Adam Juma wa Visual Lab hatofanya tena video za bongofleva lakini mkali huyu ndio kaifanya…