Sikiliza Dakika 17 za uchambuzi wa Magazeti May 05 2016
May 4 2016 millardayo.com imekurekodia uchambuzi wa magazeti kutoka Power Breakfast ya Clouds FM, ni uchambuzi wa Habari zote kubwa kupitia magazeti yaliyoandikwa leo Tanzania, Hizi ni baadhi ya Habari kubwa…
VIDEO: TOP 10 ya meli kubwa duniani kwa mwaka 2016
Moja kati ya usafiri unaotumika kubeba abiria au mizigo mingi kwa mara moja ni meli, meli ina uwezo wa kubeba watu hata zaidi ya 1000 kwa mara moja, mara nyingi meli…
VIDEO: Yanayotajwa kuwa ni magoli ya bahati kufungwa katika soka
Kuna baadhi ya matukio ya kiufundi katika soka hutokea mara chache sana hususani wakati wa kufunga, haijalishi tukio hilo kafanya mchezaji gani na kwa wakati gani au ana uwezo kiasi…
VIDEO: Mtangazaji alihaidi kama Leicester itashinda EPL atafanya TV show yake na nguo ya ndani, ishu imefika kwa waziri mkuu
Bunge la Uingereza May 4 ilikuwa kama kuna vichekesho baada ya mjadala kuzuka ndani ya bunge hilo kutokana na mmoja kati ya wabunge kuuliza swali kwa waziri mkuu wa Uingereza,…
VIDEO: ‘Wamama ambao hawabebi mimba kupata ugonjwa wa Myoma’ Naibu Waziri Kigwangalla
Ugonjwa wa Myoma ni moja kati ya matatizo yanayoathiri akina mama kuzuia uzazi pamoja na kupoteza maisha, Leo AYO TV inakukutanisha na Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya…
VIDEO: Mambo matatu aliyoyaongea Ronaldo baada ya mchezo kumalizika na kutinga fainali ya UEFA
Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa siku 15 bila kucheza mechi yoyote ya ushindani kwa Cristiano Ronaldo, Usiku wa May 4 2016 aliingia kwenye headlines baada ya kucheza mchezo…
Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo May 5 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
May 4 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
#TrendingWorldwide: Jina jipya katika list ya Rappers matajiri duniani, mtoto kapata mkwanja kutoka facebook, kisa?
Kama hukupata nafasi ya kuisikiliza Amplifaya ya Clouds FM May 4 2016 kutokana na kukosa time mtu wangu wa nguvu naomba nikuletee stori mbili zilizoingia kwenye headlines za Trending World Wide kwa siku…
VIDEO: Real Madrid wamefanikiwa kutunza rekodi yao kwa vilabu vya Uingereza, kwa kuifunga Man City
Nusu fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imechezwa Usiku wa May 4 2016 kwa klabu ya Real Madrid ya Hispania, kuwakaribisha Man City ya Uingereza katika nusu fainali…
Sahau majengo mazuri ya Dubai, sasa Falme za Kiarabu wana mpango wa kutengeneza mlima ili?
Falme za Kiarabu imeweka wazi mpango wake mradi mkubwa wa kujenga mlima lengo ikiwa ni kuongeza mvua, taifa hilo ambalo ni jangwa lina matumaini ya mradi huo mkubwa kuwa utasaidia…