VIDEO: Heri Muziki anasema yeye na Ben Pol wanatofauti zao katika kuimba
Msanii wa BongoFleva, Heri Muziki baada ya kufanya cover kama vile 'Dont jugde me' ya Chris Brown na 'All of me' ya John wa Legend na kufanya vizuri, nyimbo ya "Nakukumbukaga" ilimtambulisha rasmi na…
#AUDIO Binti aliokotwa miaka 6 iliyopita wakati wanatokea Singida na Bibi yake kuja Dar es salaam
May 26 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM, Geah Habib ametuletea Hekaheka inayomhusu binti aliyelelewa kwa muda wa miaka 6 kwenye kituo ambacho huwa wanakaa na watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha 'Jeshi…
VIDEO: Mbunge wa Karagwe bungeni na sababu za Wanaume kutooa Wanawake wazuri jimboni
Katika zile stori zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii saa kadhaa zilizopita ni pamoja na hii ya mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa aliyesimama bungeni Dodoma kuchangia bajeti ya wizara ya maliasili na utalii,…
Jackline Wolper kahojiwa na Zamaradi na kuyaongea ya mapenzi yake na Harmonize
Ni kwenye Exclusive Interview ya TAKE ONE ya CloudsTV ambayo inasimamiwa na Zamaradi Mketema na ishu kubwa aliyoiongelea ni uhusiano wake wa kimapenzi uliopita na wa sasa ambao yuko na…
VIDEO: Kutana na Trafiki mwenye mbwembwe Dar, foleni haigandi akiwepo
Kama makazi yako ni Dar es salaam inawezekana umeshakutana nae askari huyu wa usalama barabarani, jina lake ni Ashraf Abas Shaban na maeneo yake ya kazi ni Bagamoyo Road, Sayansi…
VIDEO: Ndoa nyingine 2016? Prezzo katuonyesha Girlfriend wake mpya aliyemvalisha pete
May 26 Msanii toka 254 Kenya Prezzo amekutana na Ayo TV pamoja na millardayo.com na ametuonesha Girlfiend wake mpya ambaye hivi karibuni amemvalisha pete ya uchumba na wako katika harakati za…
AUDIO: Alichosema Ole-Sendeka kwenye mazishi ya Kabwe na kuhusu kusimamishwa kwake kazi
Christopher Ole-Sendeka ambaye ni msemaji mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) alikua miongoni mwa waliohudhuria mazishi ya Wilson Kabwe aliyekua mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam aliyefariki siku chache…
Wizara ya Elimu imeomba kutengewa kiasi cha Shilingi Trilion 1.3 kama bajeti yake ijayo
Bado tunaendelea kuzikaribia headlines za Bungeni, May 26 2016 Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imewasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 kutitia…
PICHA 10: Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Mbonea Wilson Kabwe
Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam, Marehemu Wilson Kabwe ulisafirishwa kwenda Same Mkoani Kilimanjaro kwa Maziko, May 25 2016 mazishi yalifanyika ambapo shughuli hiyo ya mazishi…
‘Jimboni kwangu watu hawaoi wanawake wazuri’-Mbunge wa Karagwe
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini. Moja ya stori kubwa…