VIDEO: Belle 9 kahamia Dar es salaam, katuambia mambo muhimu kuyafahamu 2016
Post hii ni maalum kwa Belle 9, mwimbaji wa bongofleva aliyeamua kuongeza nguvu zaidi kwenye biashara yake ya muziki na sasa anatueleza moja kati ya vitu alivyoamua kuvifanya... huku akiwa…
InstagramNEWS: Ni staa gani wa bongo kafuta picha zote Instagram? kisa?
Asteria ni mtangazaji mpya wa AyoTV, kazi yake nyingine ni kukusogezea habari kubwa za mitandao na leo yuko na wewe na hawa mastaa wa Tanzania, miongoni mwa stori kubwa ni…
PICHA 12: Kutana na viwanja 10 vya ndege duniani vilivyopitisha abiria wengi zaidi mwaka 2015
Siku hizi kila kitu kina rekodi zake, kama wanatuambia mpaka idadi ya Tembo walioko Afrika hawawezi kushindwa kutuambia viwanja vya ndege vinavyoongoza kwa kupokea au kupitisha abiria wengi zaidi duniani.…
VIDEO: Jionee Instagram party Mwanza, Wema Sepetu na watu wake, Joh Makini na G Nako on stage
Ni party kwenye muendelezo wa party za Instagram ambapo hii ilifanyika Mwanza Pasaka na kupambwa na mastaa wa Tanzania mwigizaji Wema Sepetu na wasanii Joh Makini na G Nako tazama…
CONFIRMED: Yaya Toure bye bye Manchester City… kesho kutwa tu
Ni kitambo toka tuanze kusoma vichwa vya habari kwenye Magazeti vikisema ....Yaya Toure kuondoka Man City >>> <<< Man City wamuahidi Yaya Toure asiondoke <<< Baada ya hivyo vichwa vya habari, taarifa…
GoodNEWS: Mchezaji wa Tanzania mwenye dili jipya la kuvalishwa viatu na kampuni ya PUMA
Soka la Tanzania linazidi kusogea na kuzipiga hatua za kimaendeleo na mastaa wake nao wanagonga vichwa vya habari kila kukicha, sasa hivi kiungo Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Taifa…
Kingine kilicho-trend leo ni hii picha ya Davido na Wizkid pamoja
Picha za Davido na Wizkid wakiwa pamoja sio picha zinazotokea au kupigwa kila siku, kumbuka wawili kuwa na beef ambapo mwaka mmoja uliopita Davido alinukuliwa akisema 'Wizkid hanipendi... toka nimeanza…
Utatamani kujua maamuzi yaliyotangazwa leo Mahakamani kwenye ile kesi ya Mrema na Mbatia
Nani mbunge halali wa Vunjo? kumbuka baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 James Mbatia alitangazwa mshindi wa jimbo la Vunjo ambalo lilikua chini ya Mrema kipindi kilichopita, baada ya huo…
VIDEO: Kama uliyakosa magoli ya Yanga vs Kagera Sugar April 3 2016 Full Time 3-1 ninayo hapa
April 3 2016 Yanga walikuwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kucheza dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2015/2016,…
Utatamani kujua ilichosema serikali ya Tanzania kuhusu taarifa za Wahisani kujitoa kuisaidia Tanzania
Baada ya headlines kadhaa za hivi karibuni kwa Wahisani wa Marekani na ulaya kuripotiwa kwamba wamejitoa kuisaidia Tanzania baada ya uchaguzi wa Zanzibar kufanyika wakati kukiwa na malalamiko, serikali ya…