Waziri wa TAMISEMI awapiga mkwara wakuu wapya wa mikoa
March 15 2016, Rais John Pombe Magufuli aliwaapisha Wakuu wa Mikoa wapya huku akitoa siku 15 kwa Wakuu wa Mikoa wawe wamesimamia na kuondoa watumishi hewa na pia kuwakamata vijana…
Maneno ya mwenyekiti wa CCM Mikocheni baada ya Mwapachu kurudi CCM… milioni moja aliyoitoa je?
March 16 balozi Juma Mwapachu alitangaza rasmi kurudi cha chake cha zamani CCM, Mwapachu alirudi CCM ikiwa ni zaidi ya miezi mitano imepita toka atangaze kuhama chama hicho, baada ya…
Simba kuishitaki TFF kwa Nape, kama hili lisipotimia hawataendelea na mechi za Ligi (+Video)
Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba March 16 kupitia kwa mkuu wao wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo Haji Manara wametangaza mambo mawili kuhusu TFF na Hassan…
Balozi Juma Mwapachu karudi CCM leo March 16 2016 (+Audio)
March 16 2016 headlines za aliyekuwa kada wa CCM Balozi Juma Mwapachu kurudi CCM zilianza kusambaa mchana wa leo kama tetesi, lakini millardayo.com ilianza kuzifuatilia ili kujua ukweli wa habari hizi. millardayo.com…
Pichaz 20 za waziri Nape alipokutana na wanamuziki wa Tanzania leo
March 16 wasanii wa muziki Tanzania wamekutana na waziri wa habari, vijana, sanaa, utamaduni na michezo Nape Nnauye kujadili mambo kadhaa ikiwemo ugawaji wa mirabaha ya kazi zao, wasanii wamejadiliana na…
Jinsi Dubai ilivyobadilishwa kutoka Jangwa na kuwa sehemu ya kuvutia zaidi Duniani, Ndani ya Miaka 25! (+Pichaz)
Dubai ni mji ambao kwa sasa watanzania wengi wanaenda kwa ajili ya kufanya biashara mbalimbali, Dubai umekua kwa haraka zaidi kutokana na kuweka vizuri njia za ukusanyaji wa mapato na ni mfano ya…
VIDEO: Kipisi cha show ya Diamond Las Vegas Marekani iliyojaa mpaka 500 wakakosa nafasi ya kuingia
Promota wa show hii DMK Global kwa kushirikiana na Break Point entertainment, Safari entertainment na J&P entertainment amesema kwenye maisha yake ya kuandaa show kama hizi nchini Marekani, hakuna msanii…
Mkuu wa mkoa Paul Makonda kaanza kazi Dar… maagizo ya kwanza ni haya
Jana March 15 2015 Rais John Pombe Magufuli aliwaapisha wakuu wapya wa mikoa 26 ya Tanzania bara na kuwaagiza kutekeleza wajibu wao bila kuwa na hofu yoyote kutoka kwa watu…
‘Mimi nitawashughulikia ninyi Wakuu wa Mikoa’ – Waziri wa Magufuli
March 15 2016, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli aliwaapisha Wakuu wa Mikoa wapya huku akitoa siku 15 kwa Wakuu wa Mikoa wawe wamesimamia na…
Baada ya Simba kuituhumu TFF kuibeba Yanga, taarifa zimemfikia Jerry Muro, kasema haya
Baada ya Simba kuendelea na malalamiko ya muda mrefu kuwa klabu ya Dar Es Salaam Young African inapendelewa na shirikisho la soka Tanzania TFF kwa mambo kadhaa, ikiwemo wachezaji na…