Habari 10 kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania March 15 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini https://twitter.com/millardayo/status/709602224884809728 https://twitter.com/millardayo/status/709603225360588800 https://twitter.com/millardayo/status/709605350325010432 https://twitter.com/millardayo/status/709612587663683584…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 15 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
March 15 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu…
Sentensi za Diamond Platnumz kuhusu utambulisho wa msanii mpya kutoka WCB
Baada ya label ya WCB kumsaini mkali wa hit single ya Bado 'Harmonize' na kuendelea kufanya vizuri kwenye soko la muziki wa Tanzania. Sasa good news nyingine iliyotolewa na staa…
Jibu la Donald Ngoma kwa nini alitoa machozi kabla ya mchezo wa APR March 12 (+Video)
March 12 klabu ya Dar Es Salaam Young Africans ilikuwa Kigali Rwanda kucheza mchezo wake wa kwanza wa raundi ya pili ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya APR…
Headlines za Staa Wema Sepetu kuwa na mpenzi mpya Mcongo, kayaandika haya….
Tangu mwaka 2016 uanze miongoni mwa story zilizochukua headlines kwenye mitandao mbalimbali ni hii inayomuhusu mwigizaji staa wa Tanzania, Wema Sepetu kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Mcongo. Sasa leo…
VIDEO: EXCLUSIVE: Paul Makonda kaongea nini baada ya kupewa Ukuu wa Mkoa Dar?
Headline zilizoongoza kwenye magazeti ya Tanzania March 14 2016 ni kuhusu uteuzi wa wakuu wa mikoa nchini, miongoni mwa waliozikamata zaidi headline hizo ni aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni…
VideoFUPI: Wanasema ukiwa Muongo uwe na kumbukumbu zote kichwani..
Ni kweli ukiwa muongo unatakiwa kuwa na kumbukumbu sana, nimekutana na hii video ya kichekesho ambacho Mrembo mwenye kupenda pesa kaongezea cha juu baada ya kuambiwa na boyfriend wake achukue…
Kutoka Ikulu DSM: Rais Magufuli leo kamalizana na Bwana Javier Rielo
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki Javier Rielo amemuhakikishia Rais wa Magufuli kuwa kampuni hiyo itaanza ujenzi wa mradi wa bomba la kusafirisha Mafuta kutoka Uganda hadi bandari…
VIDEO: Ajali ya basi la Leina Tours iliua… dakika 15 kabla ya kushusha abiria Ubungo
Ni ajali ambayo ilitokea dakika 15 tu kabla ya basi hili kufikisha abiria kwenye kituo cha basi Ubungo Dar es salaam likitokea Kahama Shinyanga ambapo waliojeruhiwa kwa wakati huo walikua…
Pamoja na ukali wake, lakini Tunda Man ameshamuweka Juma Kaseja benchi (Full detail ninazo hapa)
Kama wewe ni mpenzi wa burudani basi millardayo.com inakusogezea stori zote ambazo zimepata airtime kwenye 255 ya Clouds FM March 14 2016 moja wapo ya stori ambazo zimepata airtime leo…