MPYAA: Ben Pol na Jux wanakualika kuusikiliza huu mdundo mpya ‘Nakuchana’
Najua kuna watu wangu hawapendi kabisa kupitwa na updates za mastaa wao wa bongo, basi hii pia yaweza kuwa inakuhusu zaidi isikupite kama wewe ni mmojawapo. Mdundo unaitwa 'Nakuchana' unamilikiwa…
Ni time yako kusikiliza Habari Hot kwenye Magazeti ya leo Feb 12, yakisomwa kwenye Power Breakfast.
Nimekuwekea hapa Magazeti yakisomwa hewani kwenye Redio leo January 28, kwenye show ya Power Breakfast ya Clouds FM, unaweza kusikiliza. Baadhi ya taarifa zilizochukua uzito ni pamoja na WAZIRI Mkuu Kassim…
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo February 12 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
February 12 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
VIDEO: Waziri Nchemba kafanya ziara ya kushtukiza usiku na kufuta watu kazi
Usiku wa Feb 11 2016, Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba alifunga safari ya ghafla kuelekea katika machinjio ya Ukonga Mazizi Dar , safari hii ikiwa ni kupambana…
Baada Adam Johnson kukiri kujihusisha na mapenzi na binti U-16, klabu na Adidas imeamua hivi, kabla ya hukumu
February 11 stori zilizoingia kwenye headlines katika soka la Uingereza ambalo linaaminika kuwa na mashabiki wengi wanaopenda Ligi hiyo, ni kuhusu winga wa zamani wa klabu ya Man City anayeichezea…
Baada ya Injini ya Pantoni Kigamboni kuzima katikati ya maji, huyu Shuhuda amefichua mengine
Imekua ni moja ya Top Stories February 11 2016 baada ya picha kuanza kusambaa asubuhi kuhusu Injini ya Pantoni Kigamboni kuzima katikati ya maji na safari haijakamilika, shuhuda ambaye ni…
VIDEO: Mahojiano ya Television ya CCTV Africa na mwimbaji Alikiba
Zaidi ya siku saba zilizopita mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba alituonyesha kwa mara ya kwanza single yake mpya ya 'Lupela' ambayo ameihusisha na ubalozi wake wa kutetea Uhai wa Tembo…
Soudy Brown kampata Ray ‘Vicent Kigosi’ kwenye YouHEARD baada ya kuusikia wimbo wa Nay wa Mitego
Leo kwenye U heard ya Clouds fm Soudy Brown kaamua kuingizia utani kupitia moja ya mstari kwenye mdundo wa Nay wa Mitego 'Shika adabu yako , eti Msanii Ray Kigosi katumia…
Full Video: Star wa Nigeria Seyi Shay alivyotua Dar, Mastaa gani wa bongo atafanyanao kazi?
Feb 10 2016 Star wa Nigeria Seyi Shay alitua Dar kwaajili ya kudondosha show ya Valentine Day itayofanyika Mwanza, Team ya Ayo Tv na millardayo.com iliwasili mapema katika uwanja wa…
Watu 11 wafariki na wengine 29 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la kampuni ya Simba..(+Pichaz)
Habari za hivi punde ni ya watu 11 kufariki na wengine 26 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Simba na Lori lililokuwa limebeba mchanga na kugongana uso kwa…